Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Status
Not open for further replies.
Baada ya Nikki wa Pili kurusha jiwe gizani hatimaye kuna mtu kasema 'hayaaaaaaaa', hii inatokana na ngoma inayoitwa baba Swalehe yenye maneno ambayo siyo mazuri kwa Tycoon la all bongo social media.

Nanukuu "Kila siku uko insta, vitu unavyopost siyo smart, eti una Lembebezz kama Mswati" mwisho wa kunukuu.

Katika kuonekana kama kweli yuko siriazi na swala hili, Tycoon huyo ametumia muda mwingi studio na gym ili kujiandaa na vita hiyo lyrically and physically, ambapo mashabiki wa kundi la weusi wamemuomba Nikki atafute backup kutoka kwa Weusi ili kwenda sawa na mutu huyo mwenye miraba sita.

12353821_909568962424863_2068470092_a.jpg

1172976_1109280015751514_145312389_n.jpg

Pia wadau mbalimbali wa burudani nchini wameiita vita hivyo kama vita vya kisomi (intellectual rivalry) tukizingatia ukweli kwamba hapo ni degree 5 zinapigana , na mpaka 2017 zinaweza kuwa degree 10 (maana kuna habari tycoon amechukua fomu anataka apige degree 4 kwa mkupuo).

Tulipomvutia waya tycoon huyo alisema "Nmekamilisha verse 2 za diss track yangu ambapo nitaipeleka COSOTA kabla ya kuisambaza redioni ili niweze kupata mirabaha yangu, Sisi unajua mimi ni Le Gademzzz akili kubwa" ambapo aliomba tumpe muda kidogo apashe Le Ubongozz kidogo gym thn akakata simu.

Mpaka tunaingia mitamboni saa nane usiku paparazi wetu aliokuwa anaifuatilia super Noah alidai jamaa alkuwa bado yuko gym.

- Now I understand kwa nini Soud Brown amenipigia Simu kumbe kuna this hahaha muanzisha thread thank U kwa kuniongezea umaarufu, HIYO picha ya Studio niliipiga Mwaka Jana nikiwa Studio natengeza vupindi vya my new TV Talk Show kwa HIYO ni Uongo wa KITOTO, Na Mwaka Mpya 2016 niliamua kuanza Mazoezi ili kuachana na Unene that is all kwamba kuna muziki wa Nikiwapili SIIJUI na wala huwa sisikilizi,

- Kwa kifupi ni kwamba nipo Dodoma ambako nimekuja Leo na Ndege ya Asubuhi kwa ajili ya Vikao vya Chama Cha Mapinduzi Taifa kwa Siku Mbili, na nikirudi nitakuwa kwenye matayarisho ya Safari yangu ya Dubai ambako Shirika la Ndege la Emirates limenichagua na kunialika for Study Tour all paid for One week ili kuingia nao mkataba wa kuwatangaza at outlets zangu za Social Media so I am very busy.

- kwa ukisoma vizuri hii habari ninahisi kuna mchezo wa kuipromote hiyo song ambayo kama kweli ipo nitashukuru sana cause itaniongezea followers, ambao ni mtaji wangu kwenye Biashara zangu za Social Media. Ni kweli I make Big money from my Instagram, na ni kweli ninakubalika sana na Mabebezz wengi hapa Mjini na ndio base yangu na ni kweli I make Millions of Tshillings from it yaani Instagram na Blog.

- Again mleta mada anaonekana ni part of promoting hiyo single maana siamini kuna binadam anaweza kuchukua picha na kutengeneza hadithi ya Uongo kama hii mpaka Radio zikaingilia kati na kuanza kunipigia simu ndicho alichotaka kuuza tu the song kwa kutumia jina langu ila Mimi sio mjinga I will make more money out of this mess it is my professional to see Opportunity at any situation.

Le Mutuz live from Dodoma Downtown
 
We Le Mutuz akili kubwa nani asiyejua hapa town. We maliza kikao hapo Dodoma kisha urudi Dar kwa ndege. Ujiandae na mwaliko uliopewa na Emirets Dubai. Thread kama hizi zinakuongezea umaarufu hawa hawajui
 
- Now I understand kwa nini Soud Brown amenipigia Simu kumbe kuna this hahaha muanzisha thread thank U kwa kuniongezea umaarufu, HIYO picha ya Studio niliipiga Mwaka Jana nikiwa Studio natengeza vupindi vya my new TV Talk Show kwa HIYO ni Uongo wa KITOTO, Na Mwaka Mpya 2016 niliamua kuanza Mazoezi ili kuachana na Unene that is all kwamba kuna muziki wa Nikiwapili SIIJUI na wala huwa sisikilizi,

- Kwa kifupi ni kwamba nipo Dodoma ambako nimekuja Leo na Ndege ya Asubuhi kwa ajili ya Vikao vya Chama Cha Mapinduzi Taifa kwa Siku Mbili, na nikirudi nitakuwa kwenye matayarisho ya Safari yangu ya Dubai ambako Shirika la Ndege la Emirates limenichagua na kunialika for Study Tour all paid for One week ili kuingia nao mkataba wa kuwatangaza at outlets zangu za Social Media so I am very busy.

- kwa ukisoma vizuri hii habari ninahisi kuna mchezo wa kuipromote hiyo song ambayo kama kweli ipo nitashukuru sana cause itaniongezea followers, ambao ni mtaji wangu kwenye Biashara zangu za Social Media. Ni kweli I make Big money from my Instagram, na ni kweli ninakubalika sana na Mabebezz wengi hapa Mjini na ndio base yangu na ni kweli I make Millions of Tshillings from it yaani Instagram na Blog.

- Again mleta mada anaonekana ni part of promoting hiyo single maana siamini kuna binadam anaweza kuchukua picha na kutengeneza hadithi ya Uongo kama hii mpaka Radio zikaingilia kati na kuanza kunipigia simu ndicho alichotaka kuuza tu the song kwa kutumia jina langu ila Mimi sio mjinga I will make more money out of this mess it is my professional to see Opportunity at any situation.

Le Mutuz live from Dodoma Downtown
Hahahahahahaha.
 
Katika kipindi chake cha GOSSIP COP, Sudi Brown alianza kwa kumvutia waya kwanza Le Mutuzz na kumuuliza kuhusu bifu kati yake na Nikki wa Pili kutokana na ule wimbo wake 'Baba Swalehe' ikidaiwa kwamba ulikuwa ukimlenga yeye Le Mutuzz. Le Mutuzz akakanusha kuwa na bifu na Nikki..

Kisha akaulizwa tena kuhusu kusemekana kuwa ameonekana studio akijiandaa kuachia wimbo wa kumjibu Nikki, jamaa akakanusha tena akisema ule sio wimbo bali alikuwa anaandaa kipindi chake cha 'Talk Show', Sudi akamuuliza tena vipi ikiwa Nikki atataka ashirikishwe ktk hiyo video yake, Le Mutuzz akajibu hiyo haiwezekani... Atamshirikisha tu iwapo kuna maslahi yatapatikana kwa kumshirikisha Nikki ktk project yake hiyo.

Mara Sudi 'The Gossip Cop' akamvutia waya Nikki,kwanza alianza kwa kuisifia video mpya ya G Nako...kisha akamuulizia kuhusu video ya wimbo wake wa BABA SWALEH kama imeshakimilika, Nikki akajibu kwamba bado,akaulizwa kuhusu idea ya hiyo video ikoje yaani mtu atakayevaa uhusika wa BABA SWALEH, akasema bado japo wapo ktk mchakato.

Sudi Brown akamwambia Nikki kuwa eti watu wengi wametoa mapendekezo yao kuhusu nani anafaa ashirikishwe ktk hiyo video ya BABA SWALEH, kwamba wamependekeza Le Mutuzz ndio avae uhusika wa BABA SWALEH kwani ana_fit sana. Nikki hakumjibu moja kwa moja, akazuga zuga kisha huyooo...!!
 
- Now I understand kwa nini Soud Brown amenipigia Simu kumbe kuna this hahaha muanzisha thread thank U kwa kuniongezea umaarufu, HIYO picha ya Studio niliipiga Mwaka Jana nikiwa Studio natengeza vupindi vya my new TV Talk Show kwa HIYO ni Uongo wa KITOTO, Na Mwaka Mpya 2016 niliamua kuanza Mazoezi ili kuachana na Unene that is all kwamba kuna muziki wa Nikiwapili SIIJUI na wala huwa sisikilizi,

- Kwa kifupi ni kwamba nipo Dodoma ambako nimekuja Leo na Ndege ya Asubuhi kwa ajili ya Vikao vya Chama Cha Mapinduzi Taifa kwa Siku Mbili, na nikirudi nitakuwa kwenye matayarisho ya Safari yangu ya Dubai ambako Shirika la Ndege la Emirates limenichagua na kunialika for Study Tour all paid for One week ili kuingia nao mkataba wa kuwatangaza at outlets zangu za Social Media so I am very busy.

- kwa ukisoma vizuri hii habari ninahisi kuna mchezo wa kuipromote hiyo song ambayo kama kweli ipo nitashukuru sana cause itaniongezea followers, ambao ni mtaji wangu kwenye Biashara zangu za Social Media. Ni kweli I make Big money from my Instagram, na ni kweli ninakubalika sana na Mabebezz wengi hapa Mjini na ndio base yangu na ni kweli I make Millions of Tshillings from it yaani Instagram na Blog.

- Again mleta mada anaonekana ni part of promoting hiyo single maana siamini kuna binadam anaweza kuchukua picha na kutengeneza hadithi ya Uongo kama hii mpaka Radio zikaingilia kati na kuanza kunipigia simu ndicho alichotaka kuuza tu the song kwa kutumia jina langu ila Mimi sio mjinga I will make more money out of this mess it is my professional to see Opportunity at any situation.

Le Mutuz live from Dodoma Downtown
Hahaaa Le Akili Kubwa. Naona unamake money
 
Kwenye insta Baba swalehe anjionyesha akifanya mazoezi gym
Nadhani anajaribu kupunguza UMRI
 
Dah ila hilo jina linamfiti sana Le Mutuz (Baba Swalehe)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom