Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

Hii ni kweli ..huu mfumo ulitoka sauzi na saa hv bongo upo na unatamba

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi umenitia pressure na Ki Premio changu.

All in All hiyo chain kuijua kunahitaji akili nyingi ambazo jamaa zetu hawana.
 
Dawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako[emoji28]
Sikuhizi wako full manondo..wanatembea na betri full charged..in case wakikutana na scenario kama yako..mwizi ana mbinu zaidi yako ndio mana anakuibia.[emoji28].

Ila hawa washezi ndio mana wanakufaga vibaya wakidakwa na raia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unabid ulisaidie Jeshi la Sirro
 
Njia hii mbona nayo si lolote si chochote?

Nilikuwa nje ya nchi, gari nikamwachia wife awe ananipashia na kupack, yeye akaenda mbali zaidi akaweka na hiyo kitu.

Nilivyorejea akanikabidhi funguo kimya kimya na kuanza kufuatilia 'ruti' zangu za kula bata mjini.

Ikawa sasa ni ugomvi kila nidanganyapo sehemu halisi nilikokuwa!

Haikunichukua muda kujiuliza na kujijibu kisha kuzamia garage.

Nilipofika nikaambiwa mjuzi wa kukata hiyo system ni yule pale.

Kumuona kijana kaniambia: "mzee umeniletea sh ngapi"? Nikamwambia: "kijana sina hela leo, kwani unataka sh. ngapi?"

Akanambia:"nipe ten nikanywe hata chai mzee baba".

Mzunguko wake wa kufyatua si wa kitoto lakini, ilichukua muda.

Baada ya zoezi hilo furaha nyumbani ikarejea kama kawaida.

Ndonasema kuweka gps haisaidii sana.

Maana inaweza kuibwa na wajanja wakisha move umbali flani wanahangaika na disconnection ya system hiyo kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38]! Dah! Mkuu nimecheka sana.
Umeandika hadi nimehisi kuuona huo msala wa mabaki ya vifaa vya hao wezi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] unataka nikupeleke mahali ambapo funguo inachongwa bila kushirikisha control box?
 
Bastola ni safi - lakini nasikia mchakato wa kupata kibali waweza kuchukua miaka miwili hadi mitano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…