mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Walisanauka walikimbiaVp walikamatwa?
Swma kMtandao huo ukiwaona wezi hao hutaamini kama ni wezi mabrazameni tu
Ila wakingiaga 18 zingine watu wana wavunjaga
Vunjaga kabisa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walisanauka walikimbiaVp walikamatwa?
Mswahili anapenda kitonga hata wakiruhusiwa kuingiza bure spea awatoacha wizi.Hii itadhibiti vipi wao kununua spare kutoka kwa wezi?
We jamaaaDawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako[emoji28]
Wataanza kuja na mabetri yaoDawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako[emoji28]
Kidukulilo huwa ananunuaSpea zake utaamuuzia nani sasa, Christiano Ronaldo?
We jamaaa
Watu watakufanya ulie wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanafika na betri lao wanawasha wanasepa......sasa utatoka kua baba mwenye gari mpaka baba mwenye betri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alarm inasaidia asilimia kubwaWanachinja,kuingia Ni vyepesi maana wanaingiza kitu kirefu Kama spoko wanatoa masta look wanawashaje bila funguo hapo sijui lakini nadhani ukiweka Alam itasaidia
HahahahaHuwezi kuzuia wezi au ajali ndio maana kuna BIMA. Weka BIMA KUBWA ishi kwa amani! Kuna jamaa Benz yake iliwaka moto watu wanajaribu kuizima alianza kugombana nao.....wajanja wanajua kwanini alikuwa mkali gari yake kuzimwa!
Ngumbaru ulishindwaje kunisaidia Mzee wako?Uko mbona watastukia Sasa,
Unatoa ignition fuse Kwenye control box, asbuh unairudisha[emoji2]
Mzee wangu alkuaga anafanya ivyo tusiendeshe ovyo gari lake akisafiri.
Ngumbaru ulishindwaje kumsaidia Mzee wako?Uko mbona watastukia Sasa,
Unatoa ignition fuse Kwenye control box, asbuh unairudisha[emoji2]
Mzee wangu alkuaga anafanya ivyo tusiendeshe ovyo gari lake akisafiri.
Siku hizi uwizi mkubwa ni vifaa vya gariWe jamaaa
Watu watakufanya ulie wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanafika na betri lao wanawasha wanasepa......sasa utatoka kua baba mwenye gari mpaka baba mwenye betri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hio atakua baba mwenye bodi na betri[emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi uwizi mkubwa ni vifaa vya gari
Wanakuachia body tu ngaaaaaa
Ova
Hahah hahaKwa hio atakua baba mwenye bodi na betri[emoji23][emoji23][emoji23]
Duuu!Hata ukipaki tu ndani wanaiba tu.
Ndo mana imebidi niulize hapoMswahili anapenda kitonga hata wakiruhusiwa kuingiza bure spea awatoacha wizi.
Mbona simple si wanakuja na betri tuDawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako[emoji28]