Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

Vp walikamatwa?
Walisanauka walikimbia

Swma kMtandao huo ukiwaona wezi hao hutaamini kama ni wezi mabrazameni tu
Ila wakingiaga 18 zingine watu wana wavunjaga
Vunjaga kabisa

Ova
 
Wanachinja,kuingia Ni vyepesi maana wanaingiza kitu kirefu Kama spoko wanatoa masta look wanawashaje bila funguo hapo sijui lakini nadhani ukiweka Alam itasaidia
 
We jamaaa
Watu watakufanya ulie wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanafika na betri lao wanawasha wanasepa......sasa utatoka kua baba mwenye gari mpaka baba mwenye betri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu utakua umeshashtuka manake mara ya1 watafeli wewe utashtuka lazma utajiongeza
 
Wanachinja,kuingia Ni vyepesi maana wanaingiza kitu kirefu Kama spoko wanatoa masta look wanawashaje bila funguo hapo sijui lakini nadhani ukiweka Alam itasaidia
Alarm inasaidia asilimia kubwa

Mwizi hapendi kelele

Kuna kipindi fulani nyuma pale mlimani City

Kuna mama mmj aliibiwa ndani ya gari,aliposhuka kurudi anakuta kuna vitu kapigwa....

Yule mama baada ya kumuliza akasema mbn nliposhuka nlibonyeza alama kufunga mlango
Ah nkamwambia ulifunga,bonyeza alarm ukahakikisha mlango iko locked au uliposhuka mitaa kadhaa ndy ulibonyeza alarm
Akasema nliposhuka umbali fulani nlibonyeza alarm,nkamwambia basi hapo ndp ulipopigwa maana pale kulikuwa na watu kazi yao wana time watu wakishuk wao wanaenda wana nyanyua lock ya mlango we unabonyeza unajua imejilock kumbe olaaa
Nahs pia walinz pale walikuwa wanacheza na wezi michz hyooo
Ila baada ya watu kulalamika report kuibiwa mule ndipo wakaweka mageti ndani,na vibanda vya askari wanakaa juu

Ova
 
Huwezi kuzuia wezi au ajali ndio maana kuna BIMA. Weka BIMA KUBWA ishi kwa amani! Kuna jamaa Benz yake iliwaka moto watu wanajaribu kuizima alianza kugombana nao.....wajanja wanajua kwanini alikuwa mkali gari yake kuzimwa!
 
Hahahaha

Ova
 
Uko mbona watastukia Sasa,

Unatoa ignition fuse Kwenye control box, asbuh unairudisha[emoji2]

Mzee wangu alkuaga anafanya ivyo tusiendeshe ovyo gari lake akisafiri.
Ngumbaru ulishindwaje kunisaidia Mzee wako?
 
Uko mbona watastukia Sasa,

Unatoa ignition fuse Kwenye control box, asbuh unairudisha[emoji2]

Mzee wangu alkuaga anafanya ivyo tusiendeshe ovyo gari lake akisafiri.
Ngumbaru ulishindwaje kumsaidia Mzee wako?
 
We jamaaa
Watu watakufanya ulie wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanafika na betri lao wanawasha wanasepa......sasa utatoka kua baba mwenye gari mpaka baba mwenye betri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi uwizi mkubwa ni vifaa vya gari
Wanakuachia body tu ngaaaaaa

Ova
 
Back
Top Bottom