Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Samia ndio rais aliyepo madarakani, katiba ya CCM na utamaduni wake inamruhusu kugombea urais, ni mwenyekiti wa CCM, huu woga uliopitiliza wa kuwania urais 2025 unaletwa na nini mpaka aamue kucheza 'faulo kubwa ya kisiasa ndani ya eneo la hatari karibu na goli' unaletwa na nini haswaa?
Kuna nini kinaendelea?
Kuna nini kinaendelea?