Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
..Ni kwasababu ya nakisi ya uwezo.
..pia hana mvuto, popote alipo lazima kuwe na utitiri wa wasanii.
Wanawahi mapema ili waka print kura feki mapema 🤣Ubabe ni fursa ukiwa mkuu wa Dola ila hii ni timing na ni ishara ya hofu Kwa SSH
Wameona wawahi kupata majina mapema ili wawahi kuprint kura feki mapema 🤣Bila katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi huo utakuwa ni uchafuzi na CCM wanavyoogopa hivyo vitu viwili basi mtakaoshiriki msubiri kusema mmeibiwa.
Kapiga kata funuaUbabe ni fursa ukiwa mkuu wa Dola ila hii ni timing na ni ishara ya hofu Kwa SSH