Huu woga uliopitiliza wa Samia kuhusu kuwania urais 2025 unatokana na nini hasa?

Kama tungekuwa na katiba mpya mwaka huu chadema wangeshinda mchana kweupe.maana ccm wanaweka mgombea asiye na mvuto na hakubaliki na ni legelege sana katika utendaji
 
Sema alichofanya acha taarabu
 
CCM kuchafu sana
 
Mi nacheka sana nikisoma comments za nyumbu, yanaongea mambo kama mazuzuuuu. Mshapigwa bao kingese nyumbu nyie......bakini hivi hivi na uzushi na madua yenu mabaya kwa aliyepewa na Mungu muendelee kuchelewa. Keshokutwa tu mnaenda kupigana, badala ya kuhangaika na yenu mkae sawa nyie mnahangaika na Samia tu mliyemshindwa kabla hamjaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…