Wengine hatunyoi dongo, tuna style zetu. Sasa kuanza kuelekezana namna ya kunyoa ni mtihani.Hawajui tu how tume invest si huduma tu kwao bali hadi imani.
Ndo mkuuWengine hatunyoi dongo, tuna style zetu. Sasa kuanza kuelekezana namna ya kunyoa ni mtihani.
Hata wenye vyombo vya moto, ukishamzoea mechanic mmoja, hutamani gari ishikwe na mtu tofauti.
Aisee.Kama mie,Kuna mgahawa nilishauzoea Jo wiki ya pili hii napata tabu sana,nilishawazoea nikienda wananiambia jipakulie minyamaπ
Nimepita Leo naona wamefungua wengine,
Sasa inanilazimu niamke mapema nijipike nibebe job.
Hata wewe.....Kama mie,Kuna mgahawa nilishauzoea Jo wiki ya pili hii napata tabu sana,nilishawazoea nikienda wananiambia jipakulie minyamaπ
Nimepita Leo naona wamefungua wengine,
Sasa inanilazimu niamke mapema nijipike nibebe job.
Mimi ni asubuhi na mchana tu,usiku kinapikwa home,,shida ninaposhindaAisee.
Mimi kupika anapika ila weekends ndo huwa nafanya kutoa kitu..
Ila weekdays nikisema nipike nalala saa6 usiku
Ndiyo,Hata wewe.....
Ukipika uweke picha hapa, we sio wa kuaminiwa.Aisee.
Mimi kupika anapika ila weekends ndo huwa nafanya kutoa kitu..
Ila weekdays nikisema nipike nalala saa6 usiku
Ni mazoea ya watu mimi nikistick kwa mtu mmoja ni huyo huyo tuNaona wengi hapa mnazuga mkishazoea sehemu moja ni ngumu kubadilisha, sasa mbona kwenye ndoa zenu hali ni tofauti, wapenzi wenu mnawasaliti na bado wapo? Kwamba sehemu ya kula ni sensitive kuliko tendo la ndoa