Huwa inaniuma sana kama nimezoea kula sehemu then ifungwe

Huwa inaniuma sana kama nimezoea kula sehemu then ifungwe

Kuna mgahawa ulikuwa classic sana.

Ile sehemu wanafanya renovation na pamefungwa...

Aisee nimejikuta napata hasira, maana msosi ulikuwa classic sana.

Sasa nianze tena kutafuta mahala pengine Daah!

Haya mambo ya ubachela bwana...šŸ˜”

Si amini sana kula sehemu ambayo haina mazingira mazuri na hawana usafi...
Pole sana Mkuu. Kuwa mvumilivu kwa muda tu.
 
Back
Top Bottom