Huwa inatokea unamchoka mtu kimapenzi

Huwa inatokea unamchoka mtu kimapenzi

Wa
Kanuni, friendship then relationship,sasa wengi wanakutana leo mwezi ujao tayari ni relationship iliyoshiba,lazima ndoa zivunjike kwa stail hii.kipengele cha friendship kamwe huwezi ukakivuka kama unataka ndoa imara.
Watu wana vibe, Wanakulana then ndo wanaanza kuchunguzana for relationship hapo ndo wanashangaa kila point inakataa, Kama n mdada hapo ndo anakua chiz
 
It’s you versus you, haujamchoka mpenzi unakuwa umechoka vingi binationals, tatizo vingine haviachiki mfano, kwenda kazini au kwenye biashara. Mpenzi ndio anaachika.

Ni nyie wenyewe wenye tatizo sio wapenzi wenu.
 
Kama hamjaoana unatafuta sababu ya kumuweka pembeni, then tafuta kitu kipya(reject kwa mwingine) unendeleze gurudumu.

Ukiwa kwa ndoa na hali hii ikikutokea una options mbili, ya kwanza ni kumuomba mola wako na kujitahidi kurudisha mapenzi yenu, ya pili(which most of us opt) ni kutafuta side chick, anasaidia sana ku-spark penzi la ndani.
 
Pisi kali imekamilika kila idara, mashine mnato, cute & beautiful woman unaanzaje kumchoka na kutaka kumuacha? Labda kama anaomba hela kila mara
 
Back
Top Bottom