Huwa inatokea unamchoka mtu kimapenzi

Huwa inatokea unamchoka mtu kimapenzi

Nadhani inategema mtu na mtu, kila kitu tunatofautiana......wapo wenye kukinai lkn pia wapo wenye kufika na kuridhika na hata sekunde asihis kumchoka aliye naye, mapungufu kila mtu ana ya kwake lkn upendo wa kweli husitiri wingi wa hayo mapungufu ndipo kuchukuliana hutokea.

Nadhani hii imekaa kimmoja mmoja kila mtu kuna jinsi yupo.
 
Hii issue ikiwakuta kwenye ndoa mtafanya nini na mlikula viapo?

Ndoa za sasaivi ni UTAPELI.
 
Hamna ujue kuna muda ukija kugundua ulikuwa unadate na kituko ila mapenzi yalikutia upofu ndo hali km hiyo hujitokeza 😹😹😹

Nimekula hela zake na yeye si kadimbua maji ya kukata kiu yake kisimani kwangu eboo 🤣🤣😹
Mnasingizia mapenzi wapi semeni ukweli njaaa ndio zinafanya mtukubali sie vituko🤣🤣🤣🤣
 
Anakua na harufu flan kama ya maharage yanayoelekea kuchacha hv
Siyo yanayoelekea ni tayari yameshachacha mmetupa dampo sasa ule mchanganyiko wa harufu mbaya ya mitakataka mingine iliyoungana pamoja naye.!!! Basi mi 🤮🤮🤮
 
Nadhani inategema mtu na mtu, kila kitu tunatofautiana......wapo wenye kukinai lkn pia wapo wenye kufika na kuridhika na hata sekunde asihis kumchoka aliye naye, mapungufu kila mtu ana ya kwake lkn upendo wa kweli husitiri wingi wa hayo mapungufu ndipo kuchukuliana hutokea.

Nadhani hii imekaa kimmoja mmoja kila mtu kuna jinsi yupo.
Kwa hiyo wee hujawahi kumkinai bby wako mpaka u ataka kumtapika kama Labella
 
Mnasingizia mapenzi wapi semeni ukweli njaaa ndio zinafanya mtukubali sie vituko🤣🤣🤣🤣
Halafu huwezi amini mi ndo nawahonga shem 😹😹

Hauna mdogo wako aliyekuwa TRA au BOT aje akuthibitishie 😜
 
Siyo yanayoelekea ni tayari yameshachacha mmetupa dampo sasa ule mchanganyiko wa harufu mbaya ya mitakataka mingine iliyoungana pamoja naye.!!! Basi mi 🤮🤮🤮
Ni kamzozo Kwa kwel
 
Back
Top Bottom