Huwa inatokea unamchoka mtu kimapenzi

Nadhani inategema mtu na mtu, kila kitu tunatofautiana......wapo wenye kukinai lkn pia wapo wenye kufika na kuridhika na hata sekunde asihis kumchoka aliye naye, mapungufu kila mtu ana ya kwake lkn upendo wa kweli husitiri wingi wa hayo mapungufu ndipo kuchukuliana hutokea.

Nadhani hii imekaa kimmoja mmoja kila mtu kuna jinsi yupo.
 
Hii issue ikiwakuta kwenye ndoa mtafanya nini na mlikula viapo?

Ndoa za sasaivi ni UTAPELI.
 
Mnasingizia mapenzi wapi semeni ukweli njaaa ndio zinafanya mtukubali sie vituko๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Anakua na harufu flan kama ya maharage yanayoelekea kuchacha hv
Siyo yanayoelekea ni tayari yameshachacha mmetupa dampo sasa ule mchanganyiko wa harufu mbaya ya mitakataka mingine iliyoungana pamoja naye.!!! Basi mi ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ
 
Kwa hiyo wee hujawahi kumkinai bby wako mpaka u ataka kumtapika kama Labella
 
Mnasingizia mapenzi wapi semeni ukweli njaaa ndio zinafanya mtukubali sie vituko๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Halafu huwezi amini mi ndo nawahonga shem ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Hauna mdogo wako aliyekuwa TRA au BOT aje akuthibitishie ๐Ÿ˜œ
 
Siyo yanayoelekea ni tayari yameshachacha mmetupa dampo sasa ule mchanganyiko wa harufu mbaya ya mitakataka mingine iliyoungana pamoja naye.!!! Basi mi ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ
Ni kamzozo Kwa kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ