Huwa mnadili vipi na ndugu wa aina hii?

Huwa mnadili vipi na ndugu wa aina hii?

5,000 au 10,000 mbona pesa ya vocha tu hiyo si umpatie tu mwenzako amekwama?

Anyways,mtafutie shughuli ya kufanya au mwite umshauri kuwa pesa zinapatikana bila shida kwa watu wenye shughuli za kiuchumi.
Sawa ntafanya hivyo mkuu
 
Hahahahahaa! amekimbia kulipa kodi na ada za watoto... siku hizi mtu hakukimbizi,ni MAJUKUMU ndo yatakukimbiza na kurudi kwa mke wa ndoa kama umeoa.
Ni kweli kabisa mkuu
 
Kama huna ama hutaki kumpa na ukimpa unabaki na masikitiko ni kheri usimpe mkuu.

Mimi huwa napenda kukopeshana, yaani sio nakupa nakukopea, usipolipa next time hutopata.

Hata mimi huwa nakopa, nikikwama hata kwa maza siombi bali nakopa, nikipata namlipa na kariba 😄, mambo ya kuombaomba jau sana, mtachukiana.
 
Back
Top Bottom