kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #121
Sawa ntafanya hivyo mkuu5,000 au 10,000 mbona pesa ya vocha tu hiyo si umpatie tu mwenzako amekwama?
Anyways,mtafutie shughuli ya kufanya au mwite umshauri kuwa pesa zinapatikana bila shida kwa watu wenye shughuli za kiuchumi.
Hapo labda nimuongezee mtaji tuKm hutak akuombe kila mara mtumie laki moja na umwambie hali halisi ili siku nyingine asikusumbue
Nilimtumia nusuKama humtumii nitumie
Ili nimtumie😁
Asante, nimempa japo siyo yoteKama unayo mpe..udugu ndo ulivyo
Hahahahahaa! amekimbia kulipa kodi na ada za watoto... siku hizi mtu hakukimbizi,ni MAJUKUMU ndo yatakukimbiza na kurudi kwa mke wa ndoa kama umeoa.Alivyojua ni single maza naona kagairi
Safi sanaAsante, nimempa japo siyo yote
Hata laki kadhaa hiviwe ulitaka wakupe bei gani m,kuu?
Ni kweli kabisa mkuuHahahahahaa! amekimbia kulipa kodi na ada za watoto... siku hizi mtu hakukimbizi,ni MAJUKUMU ndo yatakukimbiza na kurudi kwa mke wa ndoa kama umeoa.
Asante mkuuPole Sana
Leo nimepumzika sijatombana....Hivi kuna siku huwa unapumzikaga wewe?
Hongera ukajipongeze na safari lager😎Leo nimepumzika sijatombana....
Aaaah wapi... Sema tuu naona kuna watu wananichokoza hapa kwa sms za kioumbavuHongera ukajipongeze na safari lager😎
Waite ujipongeze😂😂Aaaah wapi... Sema tuu naona kuna watu wananichokoza hapa kwa sms za kioumbavu
Ticha aliwahi kusema haya mambo..Waite ujipongeze😂😂