Nakomaje Sasa, ukinogewa na Mimi nanogewa Kwa pamoja tunanogeshanaNikinogewa mbona utakoma
Njoo PMHello dears,
Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.
Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
Njooo usiogopeHmm[emoji4]
Endelea kuwa hivyohivyo, kwani hiyo hali inakusumbua?Hello dears,
Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.
Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
Am waiting for youuOn my way there
Kongo sio KongoweHello dears,