Huwa mnafanyaje?

Huwa mnafanyaje?

Hello dears,

Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.

Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
Njoo PM
 
Endelea kuwa hivyohivyo, kwani hiyo hali inakusumbua?
 
Hello dears,

Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.

Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika hali hii?
Kongo sio Kongowe

Kaa kwa kutulia nipo Mansa narudi
 
Eti rub your clit', wary wanajua kushauri asee[emoji3]
 
Back
Top Bottom