Huwa mnapiga story gani siku ya kwanza kukutana na ndugu yako ambaye hujaongea nae zaidi ya mwaka

Communication is two way system, either wewe au yeye, no matter what.

Nyie ni ndugu jitahidi muwe sawa, tunajua leo tu kesho yetu iko mikononi mwa Bwana.
 
Hapo ndio pombe inapoingia sasa. Pombe inauwezo wa kusuluhisha hilo jambo lenu once & for all na wote mkawa na amani milele. Ukikutana na binaadamu asiyetumia mvinyo kuwa naye makini sana kwa asilimia kubwa ni lazima awe na chembechembe za unafiki
Hakuna watu wanafki kama kampani za bar maana urafiki unaishia pale vikao vya pombe vinapoishia. Mmoja akipata shida, hakuna anaepokea simu na si ajabu akawa ndio topic kwenye vikao ambavyo hawezi kuhudhuria kwa kushindwa kuzungusha round
 
Inawezekana unazungumzia kampani za chawa. Ukipata shida haina guarantee usaidiwe hata kama unakunywa soda, ukiona mtu anakunywa pombe haimaanishi anauwezo mkubwa ki fedha, tunaishi vizuri na kina mangi, malipo mwisho wa wiki/mwezi. Hakuna wanafiki kama wafiadini, ukipata tatizo anachoweza kukusaidia ni maombi. WTF
 
Alijitenga na mm kwa sababu ya kauli nlizomjibu na pia zilimshtua si unaelew ukweli unauma ila hakuna unafki baina yetu

Bila mmoja kujishusha ni ngumu na kama ulivyosema, wewe ni mdogo kwake na isitoshe wewe umekuwa ukimuhitaji kuliko yeye anavyokuhitaji haswa financially. Hivyo, inakuwa ngumu kwake kujishusha kwa sababu ya "ego"

Kingine yawezekana uliusema ukweli ila ulitumia uwasilishaji mbaya kiasi akaona kama umemdharau au hauthamini nafasi anayocheza katika maisha yako. Kwa hiyo hata kitu sahihi kikiwasilishwa vibaya hugeuka kuwa kitu kibaya

Bila mmoja wenu kujishusha sidhani kama lolote litatokea na kama wewe ndiye unaeteseka kutokana na maneno yako japo unaificha kwa kuonesha hujali "pride and ego". Bhasi limalize

Haihitajiki pombe wala nyama choma ila mmoja wenu aweke pride pembeni ili mlimalize. Na likishaisha, punguza kuomba financial support ili asione umerudi kwa sababu "yamekushinda" Kwa sababu standard unazozitaka na kuombaomba sababu ya njaa, havikai pamoja
 
Hakuna watu wanafki kama kampani za bar maana urafiki unaishia pale vikao vya pombe vinapoishia. Mmoja akipata shida, hakuna anaepokea simu na si ajabu akawa ndio topic kwenye vikao ambavyo hawezi kuhudhuria kwa kushindwa kuzungusha round
Mkuu kila mtu ana shida zake na sio haki yako kusaidiwa .
 
Kama ni ndugu yako ye anajigamba anahela au masifa yoyote ww inakupunguzia nin mkuu wew fanya kumsalimia kama kawaida kiroho safi mwishow atajirud na ww utajirud safi
 
Inawezekana unazungumzia kampani za chawa. Ukipata shida haina guarantee usaidiwe hata kama unakunywa soda, ukiona mtu anakunywa pombe haimaanishi anauwezo mkubwa ki fedha, tunaishi vizuri na kina mangi, malipo mwisho wa wiki/mwezi. Hakuna wanafiki kama wafiadini, ukipata tatizo anachoweza kukusaidia ni maombi. WTF

Kila binadamu ana nafasi yake mkuu

Kuna wanaotoa emotional, mental and spiritual support , kitu ambacho ni muhimu pia unless hujui umuhimu wake

Kuna wanaotoa financial support ambao huonekana kama ndio kila kitu kwa dunia ya sasa japo si kila tatizo linahitaji financial solution

Halafu kuna wale wa vikao vya bar, upo radhi umnyweshe mtu hadi alewe ila sio kumpa 10k akale na watoto wake. Huu kama sio unafki na ubinafsi ni nini
 
Mkuu kila mtu ana shida zake na sio haki yako kusaidiwa .
Sijiongelei mimi mkuu ila naongelea issue. Kama mtu anaweza zungusha round hadi za 100k , kinashindikana nini kumpa mtu 20k akale na watoto wake.

By the way hii ilikuwa ni off topic, tuendelee na vitu vingine
 
Bila mmoja kujishusha ni ngumu na kama ulivyosema, wewe ni mdogo kwake na isitoshe wewe umekuwa ukimuhitaji kuliko yeye anavyokuhitaji haswa financially. Hivyo, inakuwa ngumu kwake kujishusha kwa sababu ya "ego"

Kingine yawezekana uliusema ukweli ila ulitumia uwasilishaji mbaya kiasi akaona kama umemdharau au hauthamini nafasi anayocheza katika maisha yako. Kwa hiyo hata kitu sahihi kikiwasilishwa vibaya hugeuka kuwa kitu kibaya

Bila mmoja wenu kujishusha sidhani kama lolote litatokea na kama wewe ndiye unaeteseka kutokana na maneno yako japo unaificha kwa kuonesha hujali "pride and ego". Bhasi limalize

Haihitajiki pombe wala nyama choma ila mmoja wenu aweke pride pembeni ili mlimalize. Na likishaisha, punguza kuomba financial support ili asione umerudi kwa sababu "yamekushinda" Kwa sababu standard unazozitaka na kuombaomba sababu ya njaa, havikai pamoja
Inawezekan ikawa ni kweli na mm nilifikisha ujumbe na yeye akaupokea tofauti na pia kila mtu Kuna vile tuko tofauti kwenye perception zetu,ila kikubwa nlitaka afahamu ni jinsi gani nachukizwa na baadhi ya kauli zake tu.

Mkuu huyu ni ndugu yang wa karibu saan kama atakuwa anatumia madhaifu yangu ya kunisaidia pesa itanibidi nijiwekee mbali nae mapema kabisa mwisho wa siku ntakuwa mfungwa wake.na pia sio kwamba ni pesa ndefu kiivyo ni kipindi niko chuo nikiishiw hela yako nlikuw nampigia ananiazima kisha namrudishia.
 
Sijiongelei mimi mkuu ila naongelea issue. Kama mtu anaweza zungusha round hadi za 100k , kinashindikana nini kumpa mtu 20k akale na watoto wake.

By the way hii ilikuwa ni off topic, tuendelee na vitu vingine
Inabdi uandike uzi tupate ushuhuda maan hili naliona saan kwa rafiki zangu
 
Back
Top Bottom