Nitaangalia mkuu, shukrani 🙏🏽Inabdi uandike uzi tupate ushuhuda maan hili naliona saan kwa rafiki zangu
Inawezekan ikawa ni kweli na mm nilifikisha ujumbe na yeye akaupokea tofauti na pia kila mtu Kuna vile tuko tofauti kwenye perception zetu,ila kikubwa nlitaka afahamu ni jinsi gani nachukizwa na baadhi ya kauli zake tu.
Mkuu huyu ni ndugu yang wa karibu saan kama atakuwa anatumia madhaifu yangu ya kunisaidia pesa itanibidi nijiwekee mbali nae mapema kabisa mwisho wa siku ntakuwa mfungwa wake.na pia sio kwamba ni pesa ndefu kiivyo ni kipindi niko chuo nikiishiw hela yako nlikuw nampigia ananiazima kisha namrudishia.
Ni kweli kujifunza kuweka mipaka ni muhimu saan Nashukuru kwa ushauri wako bora mkuu.Tuna ndugu wa aina tofauti, kuna mwingine anakusaidia huku akitegemea umlipe fadhila kwa kumpa chance ya kukuendesha na mwingine anafanya kwa upendo Tu. Japo katika situation hizo mbili, kinachohitajika zaidi ni kujitambua na kuweka mipaka katika mahusiano yako
Whoever feeds you, owns you. Huu ni ukweli mchungu lakini uupokee, huwezi kutaka freedom kama haupo financially independent kwa hiyo, jifunze kuweka mipaka na kuwa na aibu ya kuomba pesa au misaada kirahisi. Kuwa na marafiki hata wawili watatu ili wakuondolee dependency kwa mtu mmoja mambo yanapoenda mrama ili usimpe mtu mmoja impression kuwa bila yeye, wewe huwezi..
Kingine wewe ni mdogo wake, kama ulitumia njia mbaya sio mbaya ukasuluhisha maana ugomvi wa familia hata kama ni wa kijinga hurithishwa kizazi hadi kizazi hivyo, jitahidi kujishusha myamalize bila ya kuumiza ego yake maana haikugharimu chochote haswa kwa mtu aliyekufaa kwa tough times nyingi "kuwa na shukrani maana hujui alijinyima vingapi ili akukwamue".
halafu baada ya hapo Weka mipaka yako kama mwanaume.
Umasikini unakusumbuaZa usiku wana JF na poleni na shughuli za kujenga taifa.
Nina ndugu yangu wa kiume upande wa maza mkubwa kidogo ila ni kama tunalingana na mimi pia ni kiume tulikuwa close saana kipindi cha nyuma karibia mwaka sasa hivi ule ukaribu ulikufa wote.
Kwa mara ya kwanza tulipingana kauli hadi kufikia hatua ya kutosemezeshana na kufungiana makufuli kila mtu na life lake hakuna cha kupigiana simu wala baba ake message kwa kipindi cha mwaka mzima.
Kuna siku alinikuta mahali akatoa salamu tu hata wakati anaondok hakuniaga ndo nikavunjika moyo wa kumtafuta though kabla ya hapo pia tulikuw hatutafutan sema zilipishana wiki kazaa since Tunisian kauli .
Natokea siku hio nilifunga kufuli la kujipendekeza nisije nikaonekan mnanka.
kiukweli hio siku sikudhamiria kujibishana nae sema kwenye maongezi yake na mimi hio siku nlijikuta napata hasira baada ya kuona maneno ya kibehi na utumwa Kutoka Kwa huyu Ndug yangu.
Nimekuwa nikimsikiliza yeye ni kumfuata kama kaka mkubwa. Na kiukweli amenisave saan Kwa baadhi ya shida zangu ambazo mostly ni vijiela, amenikopesha kopesha saan 😁tumesaidian sana,tumekuwa tukiishi kama familia moja kwa muda mrefu saan,akiwa na lake Ana nambia na mm yangu anayajua ,tumefichian siri nyingi saan ambazo hata wazazi na Ndug wengine wakijua ni balaa lingine
Kesho nataka nimpigie tusahau yaliyopita. Ila msamaha siwezi nikamuomba Kwa upande wangu nilikuw sahihi kabisa kutokana na value na standard nlizochagua kuishi.Na sina kinyongo nae sema yule mpuuzi anajiona matawi saan anaambia watu hana story za kupiga na mimi.
Nafahamu asilimia yetu nyingi tumepishana kauli saan na Hawa ndugu zetu hasa wa wa karibu ,nipeni experience wana jf siku ya kwanza kuongea mlipiga story gani?
Ushauri wangu ACHA SHOBO.Za usiku wana JF na poleni na shughuli za kujenga taifa.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapo ndio pombe inapoingia sasa. Pombe inauwezo wa kusuluhisha hilo jambo lenu once & for all na wote mkawa na amani milele. Ukikutana na binaadamu asiyetumia mvinyo kuwa naye makini sana kwa asilimia kubwa ni lazima awe na chembechembe za unafiki
Thread ifungwe solusheni imepatikanaMualike mle gambe mtajikuta mmejenga undugu upyaa pombe huunganisha watu basi tu watu wanaizereu,
Lazima tuizereu. We kinywaji gani kinavuruga akili?. Ukizingatia kwamba utimamu wa akili ndio engine ya kuendeshea haya maisha.Mualike mle gambe mtajikuta mmejenga undugu upyaa pombe huunganisha watu basi tu watu wanaizereu,
Pombe haivurugi akili bana mbona watu hawavui nguo mbon mdoctor hawakoseiLazima tuizereu. We kinywaji gani kinavuruga akili?. Ukizingatia kwamba utimamu wa akili ndio engine ya kuendeshea haya maisha.
Mjomba kwa ninayoyashuhudia huku hiyo kitu ni ya kuizereu tu hamna namna. Uzuri sijawahi hata kuonja na huo mpango sina. Kijana ana miaka 29 lakini utadhani ana 50. Mambo gani haya?[emoji3]Pombe haivurugi akili bana mbona watu hawavui nguo mbon mdoctor hawakosei
Anakkunywa pombe kali chafu kula Kulasafar zAko 3 nnecMjomba kwa ninayoyashuhudia huku hiyo kitu ni ya kuizereu tu hamna namna. Uzuri sijawahi hata kuonja na huo mpango sina. Kijana ana miaka 29 lakini utadhani ana 50. Mambo gani haya?[emoji3]
Pamoja mkuuNi kweli kujifunza kuweka mipaka ni muhimu saan Nashukuru kwa ushauri wako bora mkuu.