Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Expensive bedings owned by poor brains....Wakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda [emoji28] Huwa mnatandikaje?
Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.
Enhee kwahiyo kama hapo umetandika tayari au BadoπWakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda π Huwa mnatandikaje?
Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.
hii ni picha halisi ya kitanda chako? kama ni ndio unawezaje kulalia, kujifunika mashuka meupe hivyo kwani umekua maitiWakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda π Huwa mnatandikaje?
Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.
π π kimasihara inamuita mtu humu aiseeWakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda π Huwa mnatandikaje?
Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.
Hii ya Kwanza ni nzuri hata mimi natumia njia hii π₯Anzaa kwa kuchomeka shuka upande wa juu ya kichwa na chini ya miguu , halafu chomeka pembeni, upande wa pembeni ulio bakia vuta shaka mikunjo yote inanyooka yenywe tu halafu chomeka .
Au unaweza tandika tu bila kuchomeka chini ya godoro, inategemea na aina ya kitanda chako πΊπ»
Semeja hupendi vitu vyeupee eeeeehii ni picha halisi ya kitanda chako? kama ni ndio unawezaje kulalia, kujifunika mashuka meupe hivyo kwani umekua maiti
Kaka una Roho nzuriii sanaa kakaa πAnzaa kwa kuchomeka shuka upande wa juu ya kichwa na chini ya miguu , halafu chomeka pembeni, upande wa pembeni ulio bakia vuta shaka mikunjo yote inanyooka yenywe tu halafu chomeka .
Au unaweza tandika tu bila kuchomeka chini ya godoro, inategemea na aina ya kitanda chako πΊπ»
Pamoja umetania, wenzako hatulali kitanda kisicho na mashuka meupe hata duveti jeupe au taulo lazima iwe nyeupe. Ni mazoea mabaya maana visipokuwa vyeupe vinaonekana vichafuhii ni picha halisi ya kitanda chako? kama ni ndio unawezaje kulalia, kujifunika mashuka meupe hivyo kwani umekua maiti