min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hahaha pande zipi bwasheeKaka una Roho nzuriii sanaa kakaa 😁
Kaka Nina VINYWAJI CHANGAMSHI kwa ajir yenu
Aisome MENEMENE TEKERI NA PERESI
Hahaha pande zipi bwasheeKaka una Roho nzuriii sanaa kakaa 😁
Kaka Nina VINYWAJI CHANGAMSHI kwa ajir yenu
Aisome MENEMENE TEKERI NA PERESI
Shukrani, nitatumia mbinu hii 👊Anzaa kwa kuchomeka shuka upande wa juu ya kichwa na chini ya miguu , halafu chomeka pembeni, upande wa pembeni ulio bakia vuta shaka mikunjo yote inanyooka yenywe tu halafu chomeka .
Au unaweza tandika tu bila kuchomeka chini ya godoro, inategemea na aina ya kitanda chako 🍺🍻
Yeah kitanda kinanyooka kwa njia rahisi sana 😄Hii ya Kwanza ni nzuri hata mimi natumia njia hii 🔥
Nipo ilala kaka maeneo ya mpaji Mungu hapa ila soon narudii KIGAMBONIHahaha pande zipi bwashee
Pamoja chiefIngia YouTube uangalie tutorial
Leo nakula heiken karibu kreti ya pili sasa ila naona bado naweza simama na mguu mmoja😁Nipo ilala kaka maeneo ya mpaji Mungu hapa ila soon narudii KIGAMBONI
😅 au siyo Mkuu!Mwagia maji tu vitajitandika wenyewe malume
Mimi muda si mrefu naingia chobingo nianze KAZI ya KUINGIZIA TAIFA KODI😊😁Leo nakula heiken karibu kreti ya pili sasa ila naona bado naweza simama na mguu mmoja😁
Kazi zetu bila kuwaka , tutaharibu mambo bwashee 😃Mimi muda si mrefu naingia chobingo nianze KAZI ya KUINGIZIA TAIFA KODI😊😁
KAKA SISI HATUNA BAYA TUPIGE ZETU POMBEEE
Sio lazima kutandika hakuna fomulaWakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda 😅 Huwa mnatandikaje?
Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.
Kunywa mpaka ufee babaa🤗Leo nakula heiken karibu kreti ya pili sasa ila naona bado naweza simama na mguu mmoja😁
Siwezi kufa hapa Nasubiri ubavu wa mbuzi uive nikiwashe leo mpaka kieleweke😁😁Kunywa mpaka ufee babaa🤗
Duuhhii ni picha halisi ya kitanda chako? kama ni ndio unawezaje kulalia, kujifunika mashuka meupe hivyo kwani umekua maiti
Juzi sikulala kabisa, usiniulize niniMimi muda si mrefu naingia chobingo nianze KAZI ya KUINGIZIA TAIFA KODI😊😁
KAKA SISI HATUNA BAYA TUPIGE ZETU POMBEEE
Apostle: Nini kilitokea Ndugu yangu tuambie kaka 😊Juzi sikulala kabisa, usiniulize nini
😀😀😀 bado hapo Aise!Enhee kwahiyo kama hapo umetandika tayari au Bado😆
Ndiyo😅 au siyo Mkuu!
Semeja hupendi vitu vyeupee eeeee