Huwa mnatandikaje Kitanda Wakuu? Msinijibu vibaya naumwa!

hata sitanii, ila haujanielewa,, nimemaanisha anavyo tumia vyote kwa mapoja, shuka la kutandika, la kujifunika plus foronya za mito vyote vyeupe pee
Pamoja umetania, wenzako hatulali kitanda kisicho na mashuka meupe hata duveti jeupe au taulo lazima iwe nyeupe. Ni mazoea mabaya maana visipokuwa vyeupe vinaonekana vichafu
 
hata sitanii, ila haujanielewa,, nimemaanisha anavyo tumia vyote kwa mapoja, shuka la kutandika, la kujifunika plus foronya za mito vyote vyeupe pee
Yes hata mimi bila vyeupe pee vyote hata night dress, sipati usingizi murua! Uzuri kama taulo nyeupe haitumiki zaidi ya mara mbili. Shuka siku mbili linabadilishwa
 
😥 yoooh mi i can't sleep walah,, esp kwenye shuka la kujifunika nitakua naota mizimu tu, ila hivyo vingine ni sawa tu
 
Nadhani nidhamu ya kutandika kitanda inaanzia utotoni,mimi siwezi amka halafu niache kitanda kama siji kulala tena.

Lazima nitandike kwanza
 
Back
Top Bottom