Pamoja umetania, wenzako hatulali kitanda kisicho na mashuka meupe hata duveti jeupe au taulo lazima iwe nyeupe. Ni mazoea mabaya maana visipokuwa vyeupe vinaonekana vichafu
Yes hata mimi bila vyeupe pee vyote hata night dress, sipati usingizi murua! Uzuri kama taulo nyeupe haitumiki zaidi ya mara mbili. Shuka siku mbili linabadilishwahata sitanii, ila haujanielewa,, nimemaanisha anavyo tumia vyote kwa mapoja, shuka la kutandika, la kujifunika plus foronya za mito vyote vyeupe pee
π₯ yoooh mi i can't sleep walah,, esp kwenye shuka la kujifunika nitakua naota mizimu tu, ila hivyo vingine ni sawa tuYes hata mimi bila vyeupe pee vyote hata night dress, sipati usingizi murua! Uzuri kama taulo nyeupe haitumiki zaidi ya mara mbili. Shuka siku mbili linabadilishwa
Ka
Karibu mkuu ndo tunamalizia hapa
Dah, mkuu nikipata kidogo dhoroba hadi nimeshindwa kukualika.
Sawa kakaa tupo pamoja kakaDah, mkuu nikipata kidogo dhoroba hadi nimeshindwa kukualika.
Pasaka nayo ni siku kuu.