Huwa mnavumiliaje hii?naelekea kushindwa

Huwa mnavumiliaje hii?naelekea kushindwa

Hiyo kitu nasikia ndio maendeleo ya digitali hayo.

Fanya hivi, kila akikutumie wewe mrudishie (ifowadi) kama ilivyo bila kuongeza chochote. Mara mbili tuu ataacha mwenyewe.
 
Uandishi wa namna hiyo huwa unaboa

My sis aliniandikia hivo nikamwambia unaandika ka

vijana wa Mulugo kesi yake ilibidi mama aamulie eti nimemdharau

hahahahahaha wamezidi sana mimi mtu akiniandikia hivyo namwambia rudia tena sijaelewa atarudia mpaka maelezo yanyoooke ndo nitamjibu ujumbe wake
 
haya maendeleo yanakuja na mamboleo! mimi pia ninao hao, huwa siwajibu!
 
hahahahahaha wamezidi sana mimi mtu akiniandikia hivyo namwambia rudia tena sijaelewa atarudia mpaka maelezo yanyoooke ndo nitamjibu ujumbe wake


hahaa ila siku hizi kaacha kuniandikia hivo........,maana unaweza ukasema labda ni ufupisho
lakini ni yale yale XAXA badala ya SASA
 
unamjibu hivi
@###&@&!&#$^@^!#$/.

akiuliza ndo nini unamwambia namimi sms yako naonaga kihindi tu kama hivyo.
 
mkuu nimekukubali maana ukimbembeleza ni shida

Hahahaaaa. Tena dawa ni kumuendea hewani kama nusu saa. Umenikumbusha Amicus Curiae alipigaga lager kadhaa ili ampugie rafiki yake amkanye kujibu message kwa kuandika K. Nilicheka sana.
 
Last edited by a moderator:
Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu"
nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako'
akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea'
hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo texts,nimesema hadi nimechoka.

hebu muulize akimuandikia sms baba ake,mama ake au bosi wake kazini anatumia lugha hio ya xaxa,xiku,ctaki,nixasehe?? kama jibu ni NDIO basi amepinda huyo msamehe.....kama jibu ni HAPANA ina maana anakudharau/hakuheshimu unatakiwa umuadabishe.
 
Back
Top Bottom