Huwa mnavumiliaje hii?naelekea kushindwa

Huwa mnavumiliaje hii?naelekea kushindwa

Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu"
nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako'
akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea'
hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo texts,nimesema hadi nimechoka.

Hayatuhusu. Hayo ni mambo yenu.
 
Sms za namna hiyo zinaleta uvivu kusoma aisee muda mwingne unaumiza kichwa weee
 
Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu"
nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako'
akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea'
hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo texts,nimesema hadi nimechoka.
Mpaka huku JF huu ujinga upo! Imenikera sana mpaka nikatoa thread moja niliyoiita:'MwanaJF usininyime raha
ya kusoma thread yako.' Wapo walionijibu kwamba uandishi huo unaokoa muda lakini mie katakata sikubaliani na hiyo hoja ya kitoto. Kumbe na wewe ndugu unakerwa na huu uandishi kama mimi! Tupeane pole!
 
Mimi huwa sijibu msg za aina hiyo hadi YESU siku hizi mimtu inaandika YEXU
 
Ni uchiz na uendawazi unaowatuma kufanya hivyo. Lakini wengine ni utoto wa akili
 
Unapokuwa katika mahusiano alaf mwenzio (demu) akiishiwa kitu anakupa taarifa tu. Mf, mr x nimeishiwa vocha au sukari au Luku una mpa; na wewe siku unamtega kuwa huna Luku yeye anaufyata, je kuna mapenzi hapo?
 
Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu"
nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako'
akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea'
hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo texts,nimesema hadi nimechoka.

Nadhani itabidi anivumilie mie kwa ukimya wangu uliokithiri wa kutomjibu sms zake!
 
Back
Top Bottom