Huwa mnavumiliaje hii?naelekea kushindwa

Huwa mnavumiliaje hii?naelekea kushindwa

Ni kweli ila kwa wakati tuliopo ni ngumu sana kukabiliana na vita hii...afadhali hiyo kuliko kupoteza muda wako adhimu kumwadikia mtu ujumbe mreeeefu kisha anajibu k' ....
 
Alaaa kumbe! ndio maana nilikuwa nimemquote Eiyer katika sentensi yangu nilikuwa nimeandika kny nikimaanisha kwenye akanionya nisirudie tena.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom