Huwa mnavumiliaje hii?naelekea kushindwa

Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu"
nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako'
akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea'
hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo texts,nimesema hadi nimechoka.

usimjibu tena. Akikupigia mwambie "Utakapokua ukaacha kuandika sms kish.enzi na kitoto ndipo nitakujibu." Hatorudia tena.
 
Mkuu unaweza, nilikuwa na rafiki wa kike alikuwa anaandika vibaya kuliko hivyo, nilimuonya mara ya kwanza hakusikia.

Nikaamua kutokujibu sms zake kabisa, anaweza kutuma sms hata 15 sijibu hata moja. Akaanza kubadilika anaandika vizuri sahivi hadi raha.

Japo amenichukia kusababisha kuandika essay kwenye texts.
 
mm mwenyewe naboreka nazo wakinitumia
yaani mtu baada ya kuandika kiswahili
kinachoeleweka yeye anaandika vitu vya
utumbo usioeleweka wanaboa sana
watu dizaiini hiyo

Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu"
nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako'
akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea'
hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo texts,nimesema hadi nimechoka.
 
Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu"
nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako'
akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea'
hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo texts,nimesema hadi nimechoka.

Mi huwa nawa-Blacklist wajinga kama hawa, sim wala sms zake haziingii kwangu.
 
Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu"
nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako'
akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea'
hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo texts,nimesema hadi nimechoka.

Nafuta kabla ya kusoma, halafu upumbavu wa kuitana D, sweet, darling, wizi mtupu sipendi kabisa. Nakereka kweli
 
Back
Top Bottom