Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Uandishi wa namna hiyo huwa unaboa
My sis aliniandikia hivo nikamwambia unaandika ka
vijana wa Mulugo kesi yake ilibidi mama aamulie eti nimemdharau
hiyo kitu nasikia ndio maendeleo ya digitali hayo.
Fanya hivi, kila akikutumie wewe mrudishie (ifowadi) kama ilivyo bila kuongeza chochote. Mara mbili tuu ataacha mwenyewe.
hahahahahaha wamezidi sana mimi mtu akiniandikia hivyo namwambia rudia tena sijaelewa atarudia mpaka maelezo yanyoooke ndo nitamjibu ujumbe wake
Uandishi wa namna hiyo huwa unaboa
My sis aliniandikia hivo nikamwambia unaandika ka
vijana wa Mulugo kesi yake ilibidi mama aamulie eti nimemdharau
huwa natamani kumjibu msg hewa
mkuu nimekukubali maana ukimbembeleza ni shidaHaitasaidia kitu bora utukane ajue moja.
Hachelewi kujibu ' ndo nn xaxa?'
mkuu nimekukubali maana ukimbembeleza ni shida
Makes me wanna go crazy.
Ndo nini sasa?
ama ukute jitu linaandika msg bika vowels hata moja.
Mfano:
vp rfk? Mzm ww?
utafikiri wino unaisha @%*&-(!!
Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu"
nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako'
akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea'
hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo texts,nimesema hadi nimechoka.
Hahahaaaa. Tena dawa ni kumuendea hewani kama nusu saa. Umenikumbusha Amicus Curiae alipigaga lager kadhaa ili ampugie rafiki yake amkanye kujibu message kwa kuandika K. Nilicheka sana.