Huwa naachana na watu kisa kukoroma siwezi kabisa

Huwa naachana na watu kisa kukoroma siwezi kabisa

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
593
Reaction score
2,219
Basi ashampoo sasa hivi si nimerudi mjini kuna pisi nimekutana nayo tiktok shape kali sana tukachat kama week mbili hivi ikanielewa mimi mzee wa mashape ndo ugonjwa wangu.

Pisi ilikuwa Singida nikakomaa nikatuma 80000 ije Dar tuonane.

Nimeipokea ikaja kwangu hadi naandika uzi huu inakoromea pembeni na imesema itakaa siku tano, jamani sipendi watu wanao koroma mimi leo silali kisa ufisi wangu.

Vitu kama hivi ndo vinafanyaga napiga chini mtu pisi hii ya kirangi tako sura hips vipo vyote ila kukoroma kama gari la mkaa.

Anyway ufisi umeniponza.
 
Wanunulie anti-snoring device mkuu... Zipo kibao😂😂😂😂😂

Kuna za kuweka puani na za kuweka kwenye ulimi, technology is 🔥
Screenshot_2023-07-05-03-32-32.jpg
 
Wakati mwingine mtu ukichoka sana ukilala unaweza kukoroma hata kama kikawaida huwa haukoromi.
Sasa dada wa watu katoka singida hadi dar, amefika amepokelewa na sebene haswa kalala hoi. Mpe siku nyingine uhakikishe ni kweli anakoroma siku moja tu haitoshi.
 
Mkuu ulikojoa?Mimi nikishapiga Tako 2 huo usingizi hata ufungulie bufa,tutaonana saa nne asbuhi.Fanya kunipenyezea namba mkuu nikutue mzigo
 
Back
Top Bottom