Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atii Hoes 🤣🤣Bro's before nini😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Huo msala siyo wako.
Jali mambo yako.
Unaweza kumtaarifu akamsamehe na urafiki wenu utaishia hapo , utamtazamaje usoni shemeji yako akijua wewe ndiye uliye msagia kunguni ?
Si unajua mwanaume akipewa ile kitu anaweza kuulizwa msaga kunguni akamwambia ukweli?
Muache ajichanganyee!!Huo msala siyo wako.