Huwa nafurahi sana Simba na Yanga zikipata matokeo halali

Huwa nafurahi sana Simba na Yanga zikipata matokeo halali

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Habari zenu wana Michezo.Mimi siyo mchambuzi wa mpira ila ni mpenzi mtazamaji tu.

Leo Simba kabanwa mbavu,bahasha haijasaidia,Mmadrid nae kachemka.Tulikubaliana na GENTAMYCINE kwamb Pablo akiishiwa mbinu basi atakuwa anampigia simu ZIDANE ili ampe mbinu mpya,bahati mbaya leo simu ya ZIDANE iliishiwa chaji ikazima (haikupatikana)🤣🤣🤣🤣

Mdomo haujawahi kucheza ndugu zangu,Fanyeni mazoezi,acheni dharau, sajilini vijana.

Timu zingne mna la kujigunza kutoka kwa WANAUME Mbeya City,Hata mkiikamia timu yangu pendwa ya YANGA (MABINGWA 2022)Sawa tu japo najua uwezo wa kuifunga hamna ila inaleta radha ya soka.

Mkiambiwa timu yenu ni Pamba fc iliyochangamka mnabisha.

Kauli pekee iliyobaki kama faraja kwenu mnasema mshazoe YANGA kuongoza na nyie mnaovertake,Mmekuwa vipofu mpka mnashindwa kutambua nyakati za SARPONG na MAYELE kweli?Nyakati za LUIZ (Mchezaji nimpendae) na MUGALU??

Mtibwa nao wameapa kufumua mshono🤣🤣🤣
 
matokeo aliyo pata simba kutoka kwa Mbeya city hayakuwa halali, ki ukweli Mbeya city walione na kuminywa kweli kweli !
 
matokeo aliyo pata simba kutoka kwa Mbeya city hayakuwa halali, ki ukweli Mbeya city walione na kuminywa kweli kweli !
Hivi hawa marefa hawaoni aibu?
 
Back
Top Bottom