Hio ni faragha yake binafsi Mzee kule sio huku yeye hakuona impact ya huku kule kwao wanaona ni jambo la kawaida tu mtu kupakuliwa kinyeo kwa hio hakujua km kuna mtu yupo zake Mpitimbi huko anaenda kuchukua movie kwenye vibanda vya wachoma CD na vikompyuta vyao model ya zamani mpaka leo eti wanatumia Windows XP na Windows VistaHivi inakuaje ukisha connect na actor fulani inakuwa kama unafatilia reputation yake? Mimi imenibidi ni pause kwanza nifikirie, how!
Na hiyo crew yote waliridhia kabisa kuwa jamaa atangaze?
Windows Vista ilikua tamu sana enzi zake.Hio ni faragha yake binafsi Mzee kule sio huku yeye hakuona impact ya huku kule kwao wanaona ni jambo la kawaida tu mtu kupakuliwa kinyeo kwa hio hakujua km kuna mtu yupo zake Mpitimbi huko anaenda kuchukua movie kwenye vibanda vya wachoma CD na vikompyuta vyao model ya zamani mpaka leo eti wanatumia Windows XP na Windows Vista
Hapana, hii nilisikia tu kuwa na rumuors, nikajaribu kuserarch nikapata speech yake akikiri kabisa kuwa ni gay ila hakuwahi kuthibitisha kuwa na ana uhusiano na nani hasa mpaka leo hii, ni Bott au TopUna uthibitisho wowote?
Uko sahihi.Hapana, hii nilisikia tu kuwa na rumuors, nikajaribu kuserarch nikapata speech yake akikiri kabisa kuwa ni gay ila hakuwahi kuthibitisha kuwa na ana uhusiano na nani hasa mpaka leo hii, ni Bott au Top
So, lastly ikaonekana kuwa LGBTQ kupitia Human Rights walimtumia yeye kama Mtu maarufu ili kupata popularity na uhalali so akalipwa
I'm here to be corrected kama sivyo.
Huyu kijana kanivua nguo sina hata pakufichia sura yangu komavu🙁Kichwa kiko oves mjukuu wangu 😂😂
ww na de gunner mna matusi sana.We mama tafadhali, mimi sina ndimi chafu.
Ndimi yangu ni safi.
Sio kweli.ww na de gunner mna matusi sana.
Unakumbuka uharo ulimwaga kwenye uzi wangu wa shida ya kizazi?Sio kweli.
Onesha tusi langu hata moja.
Nilijua ushoga wenu na huyo dogo lazima ufe kifo cha mende. He needs a psychologist because he’s psycho. Do the needful if you care about him.de Gunner hv mm na wewe nani anafanana tabia na BICHWA KOMWE - ?
Wewe na bichwa wote mna ndimi chafu mkianza kutukana JF yote inanuka.
Wewe na bichwa mna profile picha zenye utata.
Bichwa ya mmama wewe ya Jaden shoga.
Tofauti yako na bichwa ni kuwa wewe ukiwahiwa unaweza kunusurika sijui kupona.
Hlf nahisi we ndo sekeli tikili.
Na kuna saa nahisi we ndo bichwa coz kila saa unamtag bichwa.
Come to Yeezus
Sasa kama unajua anahitaji msaikolojia kwann unakua rude kwake.?Nilijua ushoga wenu na huyo dogo lazima ufe kifo cha mende. He needs a psychologist because he’s psycho. Do the needful if you care about him.
Michael Scofield sio gay,ambaye ni gay ni Wentworth Miller ambaye aliplay role ya Michael Scofield kwenye prison brake,hata hivyo alisha acha hiyo nafasi kwakuwa alisema hawezi kuendelea kuplay hiyo role kwakuwa yeye ni gay...Kwa wapenz wa movies moja ya series maarufu duniani ni prison break na moja kati ya character maarufu na star humo ni Michael Scofield
Huyo jamaa anajua sana. Nikianza kukubali mwanzoni kabisa alipo chukua initiative za kwenda kumwokoa bro wake Lincoln Burrows how alivyo plan, alivyo tengeneza map jinsi atakavyo toa kaka ake gerezani.
View attachment 3615894
Na bado hata aliweza kuchora Ramani ya gereza, kwa symbolism ya tattoo artist..
View attachment 3615896
How jamaa alivyo kubali kupata kuteswa kupigwa na manyapara ya gerezani ili mradi tu asitoe siri, siri ambazo zinge haribu plan alokuwa nayo
View attachment 3615897
Jamaa was good actor, kwanza charisma yake, jinsi alivyo kuwa anatoa maamuzi, jinsi alivyo kuwa akiongea wote wanamsikiliza..
View attachment 3615898
Nimeangalia mpka season 4 ila baada ya kusikia jamaa upinde nilitoka mchezoni kabisa like how?
How can someone act so bold on the screen ila akiingia uraiani ana pakuliwa?
Nimeipuuza kabisa season 5, labda nitaichek ila stimu umekata kabisa..
Hivi inakuaje ukisha connect na actor fulani inakuwa kama unafatilia reputation yake? Mimi imenibidi ni pause kwanza nifikirie, how!
Na hiyo crew yote waliridhia kabisa kuwa jamaa atangaze?
wkt unanitag kwa seran nilichukulia unapenda masihara nimefanya mara 1 tu ya ulichonifanyia mara nying unaniona mshenzi.I had to una mazoea ya kishenzi, sana.