secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Yule jamaa aliyekatwa mkono.Simjui
Yule jamaa aliyekatwa mkono.Simjui
Wapi?Yule jamaa aliyekatwa mkono.
Kwenye Prison Break.Wapi?
Hata siijui niliiangalia kidogo tu wakati nipo mdogoKwenye Prison Break.
Kaangalie kuanzia season 4, utakutana na Tiodoro Mlawiti.Hata siijui niliiangalia kidogo tu wakati nipo mdogo
Siangalii mkuuKaangalie kuanzia season 4, utakutana na Tiodoro Mlawiti.
Utakosa uhondo. Haya!Siangalii mkuu
Kwenye hekaheka Ushawahi kutana na shoga love????
Hapana sijawahi na sitowahi...Kwenye hekaheka Ushawahi kutana na shoga love????
Angalia vizuri maana BICHWA KOMWE - sio wa kuchezeaBichwa nakukubali na nakupenda. Uko wapi Nije nikubomoe?
Ananifahamu vizuri Mimi ni nani.Angalia vizuri maana BICHWA KOMWE - sio wa kuchezea
Amen amen!Hapana sijawahi na sitowahi...
Ananyooshwa hadi ananyooka.Kwa hiyo akija kwako a narudi kuwa mtumwa
Kumbe BICHWA KOMWE -Ananyooshwa hadi ananyooka.
Mkuu kaza moyo tu...ukimchunguza bataKwa wapenz wa movies moja ya series maarufu duniani ni prison break na moja kati ya character maarufu na star humo ni Michael Scofield
Huyo jamaa anajua sana. Nikianza kukubali mwanzoni kabisa alipo chukua initiative za kwenda kumwokoa bro wake Lincoln Burrows how alivyo plan, alivyo tengeneza map jinsi atakavyo toa kaka ake gerezani.
View attachment 3615894
Na bado hata aliweza kuchora Ramani ya gereza, kwa symbolism ya tattoo artist..
View attachment 3615896
How jamaa alivyo kubali kupata kuteswa kupigwa na manyapara ya gerezani ili mradi tu asitoe siri, siri ambazo zinge haribu plan alokuwa nayo
View attachment 3615897
Jamaa was good actor, kwanza charisma yake, jinsi alivyo kuwa anatoa maamuzi, jinsi alivyo kuwa akiongea wote wanamsikiliza..
View attachment 3615898
Nimeangalia mpka season 4 ila baada ya kusikia jamaa upinde nilitoka mchezoni kabisa like how?
How can someone act so bold on the screen ila akiingia uraiani ana pakuliwa?
Nimeipuuza kabisa season 5, labda nitaichek ila stimu umekata kabisa..
Hivi inakuaje ukisha connect na actor fulani inakuwa kama unafatilia reputation yake? Mimi imenibidi ni pause kwanza nifikirie, how!
Na hiyo crew yote waliridhia kabisa kuwa jamaa atangaze?
ukimchunguza bata humli...kaza moyoKwa wapenz wa movies moja ya series maarufu duniani ni prison break na moja kati ya character maarufu na star humo ni Michael Scofield