Ila mpira wa Ulaya wanaangalia!Ila bongo bana..
Kuna mambo ya kuigana igana sana jamaa juu kasema yeye alipogundua Michael ni shoga akachana na kuchek movies yenyewe.
Ukiangalia wengine comment zao hvo hvo sasa ukisema huangalii hiyo movies ndo umechukua hatua gani ...?
Madhara ya ushoga kwenye jamii ni yapi??Fact to some extent, ila huwezi kunegate madhara ya huo ujinga
Pole atarudi tu true friends never vanish.Basi na mm umenifanya nipoteze rafk dah, a nadhani et naku support
Poor Brain unataka usifiwe na kidume mwenzako kwamba ndevu zako ni nyeusi sana zina afya zinametameta?😁Jf kuna watuwa ajabu sana
Nashangaa juzi mwame mshambulia Vishu Mtata kisi kaleta uzi wake uliosema "" kwanini wanaume tunashindwa kusifiana kama mwenzako ni mzuri ""
Na Mbape ana mashabiki kibao bongo. Binadamu tuna contradictions sana.Msela anamwagiwa tui zito la nazi kwny utumbo mpana.
Mbape ye girlfriend wake ni Transgender,mwanaume aliyechoma sindano za kuongeza makalio,hips,matiti lkn ana mbo.o na mapumbuh kama kawaida.So mbape anamla shoga
It's weird jinsi wanawake walivyo watamu ukahangaike na upumbavu,bladfaken
Hamtasusia, mtatafuta tu namna ya ku justify, ushoga bongo ni tatizo zaidi mtu akiwa masikini kapuku.Ukiongea hivyo kuhusu Mbappe watu tutasusia mechi za Ufaransa🤣🤣🤣
Sasa jichanganye uwambie hvi kwenye lile jukwaa lao la mkeka sijui...Ila mpira wa Ulaya wanaangalia!
Mashabiki wa Arsenal mojawapo ya Club inayosapoti sana haki za mashoga wamejaa tele humu.View attachment 3616791
View attachment 3616791
Inaitwa cognitive dissonanceSasa jichanganye uwambie hvi kwenye lile jukwaa lao la mkeka sijui...
Itashambuliwa kwa matusi yote aiseee
Wanawapaka mafuta pia wanaume wenzao wakiwakuta na wake zao, huo nao ni ushoga tu.Ila mnajifanyaga mnachukia na hampendi ila cha ajabu nyie ndio mnawafukua, nyie ndio mnaongoza kwa kuwajadili na kuwapa attention🤔🤔🤔
Siwezi kufanya hivyo ila najutia kuangalia vidio ya punga!Kwahiyo utajinyonga au utajitwisha mawe kichwani na kurarua mavazi yako kwa hasira?
Twende hoja kwa hoja bila mihemuko.We jamaa nilikuonaga kichwa kwenye mada za kikubwa kumbe Pungu mmoja tu
Mbona uko triggered? Si umesema upinde ni sawa na haina shida kwenye jamii. Na mimi nimekwambia mtoto mdogo anajua intrinsically kuwa huo Ufuska haufai, alaf unaniulizw why? Unaumwa nn?Uliza facts sio kuongea nonsense
Unataja vipi watoto kwenye mada kama hii?
Hakuna mtoto anayejua hicho ulichosemaMbona uko triggered? Si umesema upinde ni sawa na haina shida kwenye jamii. Na mimi nimekwambia mtoto mdogo anajua intrinsically kuwa huo Ufuska haufai, alaf unaniulizw why? Unaumwa nn?