Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Ila bongo bana..
Kuna mambo ya kuigana igana sana jamaa juu kasema yeye alipogundua Michael ni shoga akachana na kuchek movies yenyewe.

Ukiangalia wengine comment zao hvo hvo sasa ukisema huangalii hiyo movies ndo umechukua hatua gani ...?
 
Ulipenda strength zake kama actor, hivyo uliposikia ni shoga stimu zikakata sababu una perception kuwa ushoga ni udhaifu, hapana ushoga sio udhaifu.

Utanipopoa mawe leo.

Bye 😂
Jf kuna watuwa ajabu sana
Nashangaa juzi mwame mshambulia Vishu Mtata kisi kaleta uzi wake uliosema "" kwanini wanaume tunashindwa kusifiana kama mwenzako ni mzuri ""
 
Msela anamwagiwa tui zito la nazi kwny utumbo mpana.

Mbape ye girlfriend wake ni Transgender,mwanaume aliyechoma sindano za kuongeza makalio,hips,matiti lkn ana mbo.o na mapumbuh kama kawaida.So mbape anamla shoga
It's weird jinsi wanawake walivyo watamu ukahangaike na upumbavu,bladfaken
 
Kwani wewe umechukua hatua gani mkuu🤣
Mkuu mi movies naangalia mpaka mwisho kikubwa hakuna scene direct inayoonyesha ushoga..

Ukisema uchukie movies kisa personal life ya character basi ww hutoweza elewa movie mkuu..

Kuna watu waigizaji ila deep down wanafanya mambo ya ajabu kama unyanyasaji...

Wewe fatilia cha kwenye screen mengine waachie wenyewe
 
Msela anamwagiwa tui zito la nazi kwny utumbo mpana.

Mbape ye girlfriend wake ni Transgender,mwanaume aliyechoma sindano za kuongeza makalio,hips,matiti lkn ana mbo.o na mapumbuh kama kawaida.So mbape anamla shoga
It's weird jinsi wanawake walivyo watamu ukahangaike na upumbavu,bladfaken
Kama ana mbo.o jua kuna mda hata mbape na yeye anatoa

Maana ki biologia kile kiungo kinakua active ila sio asilimia zote ikitokea amesisimka kina kua active hapo ndo lazima mtapimana nguvu
 
Mkuu mi movies naangalia mpaka mwisho kikubwa hakuna scene direct inayoonyesha ushoga..

Ukisema uchukie movies kisa personal life ya character basi ww hutoweza elewa movie mkuu..

Kuna watu waigizaji ila deep down wanafanya mambo ya ajabu kama unyanyasaji...

Wewe fatilia cha kwenye screen mengine waachie wenyewe
Sasa lengo la Sanaa ni kiyoo cha jamii iko wapi?
 
Msela anamwagiwa tui zito la nazi kwny utumbo mpana.

Mbape ye girlfriend wake ni Transgender,mwanaume aliyechoma sindano za kuongeza makalio,hips,matiti lkn ana mbo.o na mapumbuh kama kawaida.So mbape anamla shoga
It's weird jinsi wanawake walivyo watamu ukahangaike na upumbavu,bladfaken
So sad, analala na Mwanaume mwenzake?
 
Back
Top Bottom