Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Nina hasira... 😄😄Inatosha mkuu lala
Nina hasira... 😄😄Inatosha mkuu lala
Unaona sasa.(ego speaking!)Ulipenda strength zake kama actor, hivyo uliposikia ni shoga stimu zikakata sababu una perception kuwa ushoga ni udhaifu, hapana ushoga sio udhaifu.
Utanipopoa mawe leo.
Bye 😂
"Dhamila" ndio nini ndugu mchambuzi wa lugha ya kiswahili?Huo msemo una pande mbili mkuu..
Kama mchambuzi wa lugha ya kiswahili je upo tayari nikufafanulie ujue fani na dhamila ya huo msemo
Nani vishu au 😄😄😄😄Unaona sasa.(ego speaking!)
Nop sio hata hivyo, kuna connotation mbaya sana ambayo kwa makuzi yetu hazifai, si udhaifu ila ni kujidhalilisha
Kuna siku nili doubt ukasema una tania leo unataka niamini ya kuwa.....
Guys mnaona hiki kiumbe kina support?
Ukiongea hivyo kuhusu Mbappe watu tutasusia mechi za Ufaransa🤣🤣🤣Nina hasira... 😄😄
😄😄😄 Muda wa kulala huu"Dhamila" ndio nini ndugu mchambuzi wa lugha ya kiswahili?
Kwa ID ipi?Wewe ndo mana kuna jukwaa la dini kule walitaka kukupiga
Hapana ni ukweli...Ukiongea hivyo kuhusu Mbappe watu tutasusia mechi za Ufaransa🤣🤣🤣
Mkuu na ww unamsapoti huyo ego player?Jf kuna watuwa ajabu sana
Nashangaa juzi mwame mshambulia Vishu Mtata kisi kaleta uzi wake uliosema "" kwanini wanaume tunashindwa kusifiana kama mwenzako ni mzuri ""
Leo umesahau sioKwa ID ipi?
Hii ID haijawahi kugusa jukwaa la diniLeo umesahau sio
😄😄😄😄 Simsapoti mtu mkuu..Mkuu na ww unamsapoti huyo ego player?
Kaza babu, mishangazi inakulisha nini?
Tuwe makini hawa watu ndo wanawapa vichwa kina anko t.... 😄😄😄Si binti kiziwi huyo kakimbia kulala tena mwanamke kabisa shiiiit😂
Mbona jina limekaa kidini dini hiliHii ID haijawahi kugusa jukwaa la dini
Unakuwa kama mwenzio aliyenifuata PM na kunisifia kuwa anajifunza mengi kupitia nyuzi zangu,sasa wakati najiandaa kumuuliza mbona mimi sijawahi kupost uzi wowote akanitumia meseji akasema kwa leo ana shida ya elfu 5 nimsaidieMbona jina limekaa kidini dini hili
Ndugu jau hasa wajomba..Kuna mmoja juzi juzi katangaza mtoto wake akae mbali mpka na ndugu sa una kaa kujiuliza hao ndugu wote upinde ama? 🤣
😄😄😄😄😄 Daaaah kwahyo mda unajiandaa kumwambia "bana weww mi sina nyuzi "" unakuta ka double text naomba alfu tano ya mkeka...Unakuwa kama mwenzio aliyenifuata PM na kunisifia kuwa anajifunza mengi kupitia nyuzi zangu,sasa wakati najiandaa kumuuliza mbona mimi sijawahi kupost uzi wowote akanitumie meseji akasema kwa leo ana shida ya elfu 5 nimsaidie