Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
- Thread starter
- #81
Oyaa una kumbuka jinsi jamaa mastermind alivyo fikia hatua mpk ya kufanya kazi na gvt kwa nia ya kuipata scylla? Ikafika hatua mpk madam president akajiuzulu kisa itajulikana kuwa yule ndugu yake yu hai.. Na bado mchizi akawageuka mpk serikali wakachukua fake card..nimemquote scofield kwenye ile scene ya scylla cards iangalie tiktok
Asee jamaa alikuwa kichwa.... Sema nn lazima nimalize tu hata kwa kuchelewa