Kumbe ni lijinga?Jamaa aliishi maisha fulani ya upweke hata hiyo character ni kama ilikuwa bahati kwake cause alikuwa anakataliwa sana kwenye baadhi ya kazi kuwa kama muhusika mkuu. So, huyo director wa PB alivutiwa na jamaa kutokana na alivyo na director alihitaji mtu wa aina hiyo kufit kwenye nafasi hiyo. Hata ngoma ya Mariah Carey-We belong together huyo director aliingoza hiyo video pia alimuweka jamaa kwenye video. Nilisikia pia jamaa hiyo nafasi yakuigiza kama Straight male kwenye PB alikuwa haifurahii sababu ilikuwa inaficha uhalisia wake kwamba yeye ni shost na ndo maana wanasema alihairisha kuendelea na Season 06 sababu hapendi uhusika wa kuigiza mwanaume lijari unaoficha uhalisia wake kwenye jamii, anataka jamii imtambue yeye ni nani na siyo kuigizia.
Bush Dokta yupo sahihi.Hamna mkuu, movie ni tofauti kabisa ina themes nyingi kuanzia wizi, usaliti, mifumo mbaya ya nchi, brother hood na mengineyo ila kupakuliwa alitangaza jamaa huyo star
Hakika mkuu season 1 mpk 3 ziliku a za motoo kinoma... Japo hata season 4 kwenye kutafta scylla Kulikua na miakili mingi sanaShoga anaitwa Wentworth Miller. Michael Scofield ni Straight male lead, character aliyebuniwa na Paul Scheuring, mwenye idea ya prison break na ndo mastermind of the escape kwenye movie. ushoga ni huko akiwa anaitwa Wentworth wala usiuingize kwenye character ya Michael, utakuwa humtendei haki Paul.
japo ni Movie ya zamani kidogo, Season 1-3 ni nzuri, niliitazama ila ikapoteza maana huko mbeleni, naona kama ilikuwa ndefu unnecessary, kwangu mimi naona wasingelazimisha iendelee sana.
Jamaa aliishi maisha fulani ya upweke hata hiyo character ni kama ilikuwa bahati kwake cause alikuwa anakataliwa sana kwenye baadhi ya kazi kuwa kama muhusika mkuu. So, huyo director wa PB alivutiwa na jamaa kutokana na alivyo na director alihitaji mtu wa aina hiyo kufit kwenye nafasi hiyo. Hata ngoma ya Mariah Carey-We belong together huyo director aliingoza hiyo video pia alimuweka jamaa kwenye video. Nilisikia pia jamaa hiyo nafasi yakuigiza kama Straight male kwenye PB alikuwa haifurahii sababu ilikuwa inaficha uhalisia wake kwamba yeye ni shost na ndo maana wanasema alihairisha kuendelea na Season 06 sababu hapendi uhusika wa kuigiza mwanaume lijari unaoficha uhalisia wake kwenye jamii, anataka jamii imtambue yeye ni nani na siyo kuigizia.
OkMoney heist hata mi nilikua sielew but nilivotulia ndo nikajua kweli wale jamaa wapo matured kwenye kutengeneza 🍿 movies
Breaking bad ni ishu ya jamaa ticha wa chemistry ambaye alikua anafundisha collage flan hv. Ila katika harakt zote hizo alikua na life bovu kinoma hv huku na kule akaingia Katika utengenezaji wa mdawa (methyl) .... Ni bonge moja la movie rate yake ni kubwa sana inafika 9/10 nahis
Jamaa aliishi maisha fulani ya upweke hata hiyo character ni kama ilikuwa bahati kwake cause alikuwa anakataliwa sana kwenye baadhi ya kazi kuwa kama muhusika mkuu. So, huyo director wa PB alivutiwa na jamaa kutokana na alivyo na director alihitaji mtu wa aina hiyo kufit kwenye nafasi hiyo. Hata ngoma ya Mariah Carey-We belong together huyo director aliingoza hiyo video pia alimuweka jamaa kwenye video. Nilisikia pia jamaa hiyo nafasi yakuigiza kama Straight male kwenye PB alikuwa haifurahii sababu ilikuwa inaficha uhalisia wake kwamba yeye ni shost na ndo maana wanasema alihairisha kuendelea na Season 06 sababu hapendi uhusika wa kuigiza mwanaume lijari unaoficha uhalisia wake kwenye jamii, anataka jamii imtambue yeye ni nani na siyo kuigizia.
Hapana sijasema hivo mbona kama unataka kunigombanisha na Vishu Mtata aiseeee...Vishu Mtata njoo, poor brain kasema eti wewe ni haszu
Kweli mkuu.Hakika mkuu season 1 mpk 3 ziliku a za motoo kinoma... Japo hata season 4 kwenye kutafta scylla Kulikua na miakili mingi sana
Yeah I know, ni vile tu tunakuwa so connected to avatars sometimes that we loose touch with them wakifanya vitu vya ajabu in real life.
Mkuu nipe your favorites nianze kuzifanyia review reading and rating.. Unaonekana mzuri sana kwenye series.. Weka kipaumbele za kutumia akili, ziwe na kila kitu kuanzia mkono, drama mpaka romance..Oky sasa kama ww unapenda mambo ya conspiracy sijui ishu za time traveller na mengine utapata humu.. uzuri hakuna madude dude ya ajabu kama wanavyofanya. Kuna marvel
Hii movie shortly inahusu kupotea kwa ndege ambayo ilianguka kwenye kisiwa flan hv. Huko wakakosa signal na njia ya kurud makwao
Mda huo huku uku mtaan watu tunajua ndege ilishapotea na tishazika tayar.
Mtiti unaanza huku kisiwani kisiwa kina mambo mengi sana sana.. nayo hii ni kali ila ndefu ina seson tisa kama sio sita hvi
Pacha wa hii inaitwa La Brea
Oky hapo sawa ngoja nikupe list yanguMkuu nipe your favorites nianze kuzifanyia review reading and rating.. Unaonekana mzuri sana kwenye series.. Weka kipaumbele za kutumia akili, ziwe na kila kitu kuanzia mkono, drama mpaka romance..
So mpka now nina
Breaking bond
Heist
Lost
Na umesema LA Brea? Daah ikoje hio?
Ni mtu moja tu. Katika maisha halisi ndo sio riziki ila kwenye movie ni rijali.Lakini nimemsoma member mmoja huko juu amesema michael was misquoted.. is it?
Huyu alikutana na kaka ake Scofield ambaye hana mambo ya kulea lea ahahaha akamkata mkono..View attachment 3616069
Mzee wa kusoma alama za nyakati😂
Aliye mkata mkono ni scofield bwana, walikuwa na beef na burrows kwa sababu Alim torture scofield pale kipindi ndo mgeniHuyu alikutana na kaka ake Scofield ambaye hana mambo ya kulea lea ahahaha akamkata mkono..
Jamaaa mkatili yule