Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Ndio hao hao, hakuna mtoto anayezaliwa na hizo chuki, ni mafundisho wanayopata huko kwenye dini zenu za wakoloni na media propaganda ambazo wakoloni wameachana nazo nyie mlioletewa ndio mmeweka misingi ya maisha yenu
 
We jamaa, hauko sawa kabisa kwa hiyo na kutomba tulifunzwa? Si unajua tu kazi ya kiungo? Ila kiungo kutumika kisipo stahiki hio ni laana, na ujinga
 
Hao unaowaita mashoga kwani wamefunzwa na nani?
 
Hilo Swali ni kuku Uliza wewe unayejua kuwa upinde ni halali
Uhalali wa kitu unatokana na ulicholishwa,
Kama wewe ulivyolishwa ujinga

Ungezaliwa kwenye jamii ambayo inakubali upinde usingekua na makasiriko uliyonayo

Uhalali wa jambo lolote ni kutokana na mtazamo wa mfanyaji na sio maoni ya watu wengine
 
Am not down for that maana una angalia logic kwenye morals, nitapoteza muda
Dogo, hakuna morality mbaya kama kupiga watu risasi, kuwapoteza na kudhulumu haki zao. Hayo mengine ya jinsi watu wazima wanavyofanya ngono style zao usizozipenda kwa ridhaa zao ni kichefuchefu chako binafsi tu wala hayana uhusiano na morality.
 
Huyu mwamba hata mm alinitoa to relin nikaounguza kuangalia movie na series now naangalia San documentaries na books reading
 
Kwa hii dhana hutakuja kuelewa, hujui hata morals chimbuko lake ni lipi
 
Uhalali wa kitu unatokana na ulicholishwa,
Kama wewe ulivyolishwa ujinga

Ungezaliwa kwenye jamii ambayo inakubali upinde usingekua na makasiriko uliyonayo

Uhalali wa jambo lolote ni kutokana na mtazamo wa mfanyaji na sio maoni ya watu wengine
Haya ignorant usiye jua hata hisia zako.
 
Huyu mwamba hata mm alinitoa to relin nikaounguza kuangalia movie na series now naangalia San documentaries na books reading
What documentaries do you watch and what books do you read
 
Back
Top Bottom