Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Kwa taarifa yako huyu bichwa mimi namchukia sbb tu ni punga ila hachokozagi mtu hana alichonikosea ,he is cool hlf usimuone anajichetua na laana zake za ushoga he is very smart.Tatizo ni mara chache sana utamkuta mada za maana ila hakuna mada wala comment ya mavi mavi itampita .Sijui ana poop detector.Yaani comment ya kinyesi hata iwe wapi ataiona tu na happy hajatagiwa. Huyu upstairs ni level zenu na kina denoo na natafuta ajira ila no wonder si mwanaume ?

Seran alivyoanza kunichokoza unajitia hujaona?
I know prida Bichwa huwa ana comment vya maana sana, she/he to cool for nonsense ni vile anajitoaga ufahamu mpk anchekesha

Kwamba poop detector? 😂 Dah hapo umetupa jiwe gizani..

Sure thing, I feel that too jamaa inabidi awe anachangia madini tuu na sio poop.
. She's he and she at the same time
 
Kwa heshima nakuomba usiwe unanikwoti tena kwa kunihusisha na hawa watu wako.Nilikukwoti wewe sbb nakuheshimu.Iam too old and classy for this.Asante.
Why? Mbona si ungenambia tuu kawaida kuna issue? I respect you too prida.
Old is gold na I appreciate you
 
Namaanisha mkuu jamaa ni muigizaji kacheza vizuri hiyo series maisha yake binafsi hayahusiani na movie mkuu nimejitahidi kujibu, Mimi nitoke kwenye kibarua cha kujenga, na fundi mkuu kanipa kiasi cha hela, harafu Tena aje Nyumbani aanze kunipangia matumizi ya hela yangu 🤣
Hahaha bado umeniacha ila sawa
Kuwa life la uhalisia bovu kupita usanii
 
He wasted all his carrier age kwa kujitangaza
Mikataba Yao ndio unavyotaka

Industry ya movie za Hollywood tangu miaka ya mwanzoni mwa 2000 ilikuwa imesha ingiliwa na Hilo jinamizi la kutangaza ushoga na usagaji

Kuna series niliicheck juzi aiseee ule ni uchafu nikona niifute kabisa pumbavu

Though ni serious ya 2006 imagine!!
 
Classy wapi wewe mburukenge!

Classy na unakunya mavi yanayonuka uvundo pwiaaa!!!

Yaani hapa tutakuquote na tutakuchamba mpaka uache ndala njiani.

Hata ukijifanya kuandika kizungu uchwara ni utanyukwa mijeledi haswaaa! Eboo!

Cc: Poor Brain secretarybird
Kumekucha, Kumekucha (in king's majuto's voice)
 
Mikataba Yao ndio unavyotaka

Industry ya movie za Hollywood tangu miaka ya mwanzoni mwa 2000 ilikuwa imesha ingiliwa na Hilo jinamizi la kutangaza ushoga na usagaji

Kuna series niliicheck juzi aiseee ule ni uchafu nikona niifute kabisa pumbavu

Though ni serious ya 2006 imagine!!
Unaitwaje huo upumbavu?
 
Kwa wapenz wa movies moja ya series maarufu duniani ni prison break na moja kati ya character maarufu na star humo ni Michael Scofield

Huyo jamaa anajua sana. Nikianza kukubali mwanzoni kabisa alipo chukua initiative za kwenda kumwokoa bro wake Lincoln Burrows how alivyo plan, alivyo tengeneza map jinsi atakavyo toa kaka ake gerezani.
View attachment 3615894

Na bado hata aliweza kuchora Ramani ya gereza, kwa symbolism ya tattoo artist..
View attachment 3615896

How jamaa alivyo kubali kupata kuteswa kupigwa na manyapara ya gerezani ili mradi tu asitoe siri, siri ambazo zinge haribu plan alokuwa nayo

View attachment 3615897

Jamaa was good actor, kwanza charisma yake, jinsi alivyo kuwa anatoa maamuzi, jinsi alivyo kuwa akiongea wote wanamsikiliza..
View attachment 3615898

Nimeangalia mpka season 4 ila baada ya kusikia jamaa upinde nilitoka mchezoni kabisa like how?

How can someone act so bold on the screen ila akiingia uraiani ana pakuliwa?

Nimeipuuza kabisa season 5, labda nitaichek ila stimu umekata kabisa..

Hivi inakuaje ukisha connect na actor fulani inakuwa kama unafatilia reputation yake? Mimi imenibidi ni pause kwanza nifikirie, how!
Na hiyo crew yote waliridhia kabisa kuwa jamaa atangaze?
Ndio maana wengine wanahusisha movie industry with satanism.
 
"How alivyo, how, how", ndio nini hiyo mkuu?

T-Bag mkali sana.
c3354400b54c6d18f931749343958fd7 (1).jpg

Hili jamaa halina roho kabisa
 
Kwa taarifa yako huyu bichwa mimi namchukia sbb tu ni punga ila hachokozagi mtu hana alichonikosea ,he is cool hlf usimuone anajichetua na laana zake za ushoga he is very smart.Tatizo ni mara chache sana utamkuta mada za maana ila hakuna mada wala comment ya mavi mavi itampita .Sijui ana poop detector.Yaani comment ya kinyesi hata iwe wapi ataiona tu na happy hajatagiwa. Huyu upstairs ni level zenu na kina denoo na natafuta ajira ila no wonder si mwanaume ?

Seran alivyoanza kunichokoza unajitia hujaona?
Yaani bora umenisifia, maana nilishajipanga kukushukia kama mwewe.

Kwa hili, nashusha silaha chini.

Tukutane kesho asubuhi.

Cc: secretarybird
 
I know prida Bichwa huwa ana comment vya maana sana, she/he to cool for nonsense ni vile anajitoaga ufahamu mpk anchekesha

Kwamba poop detector? 😂 Dah hapo umetupa jiwe gizani..

Sure thing, I feel that too jamaa inabidi awe anachangia madini tuu na sio poop.
. She's he and she at the same time
Kiumbe chenye jinsia she na he huku kwetu tunakiita It au kwa kifupi tukichanganya she na he na it tunarahisisha kwa kusema SHIT.
So hiyo ni jinsia shit.
You feel me?☺️

Hatuwezi mpangia eti achangie madini tu akati hobby yake ni mavi.Katiba inamruhusu kuchangia chochote mradi havunji sheria.Ni mm tu kukwepa nisione anavyochezea na kufurahia mavi.

Uzuri naijua saikolojia ya mapunga.Mfano hapa si kajua mimi nisiyependa mapunga nipo,basi atazidisha comment za manjonjo ya upunga mradi tu anikere zaidi.Sasa na mm naukimbia 🏃‍♂️‍➡️huu uzi nisimuone coz kila nikikutana na bichwa huwa natapika.Sipendi kabisa kukutana na bichwa na wen wenzake.
 
Kiumbe chenye jinsia she na he huku kwetu tunakiita It au kwa kifupi tukichanganya she na he na it tunarahisisha kwa kusema SHIT.
So hiya ni jinsia shit.
You feel me?☺️

Hatuwezi mpangia eti achangie madina tu akati hobby yake ni mavi.Katiba inamruhusu kuchangia chochote mradi havunji sheria.Ni mm tu kukwepa nisione anavyochezea na kufurahia mavi.

Uzuri naijua saikolojia ya mapunga.Mfano hapa si kajua mimi nisiyependa mapunga nipo,basi atazidisha comment za manjonjo ya upunga mradi tu anikere zaidi.Sasa na mm naukimbia 🏃‍♂️‍➡️huu uzi nisimuone coz kila nikikutana na bichwa huwa natapika.Sipendi kabisa kukutana na bichwa na wen wenzake.
Ila nimegundua prida ww mbaya sana unaweza mfanya mtu a date kwa michambo

Kwamba yeye ni SHIT

Ofcourse ni yeye na maisha yake

Wenzake? Wakina nani hao tuwajue maana ipo siku na Mm naweza bananishwa😂

Ila Seran rafk angu ulimfanya vibaya sana daah
 
Back
Top Bottom