Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Labda ni namna ya kuifanyia promotion season inayofuata. Maana wazungu mambo ya kushikishana ukuta sijui yamewaloga na uchawi gani. Ukitaka kumkasilisha mzungu pingana na ushogaHamna mkuu, movie ni tofauti kabisa ina themes nyingi kuanzia wizi, usaliti, mifumo mbaya ya nchi, brother hood na mengineyo ila kupakuliwa alitangaza jamaa huyo star