Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Binafsi pia nilipenda movie yake toleo la kwanza, baada ya kusikia kajamaa kameolewa niliacha kabisa kuangalia hiyo movie mazima!!
Labda wenzie waendelee kuchek ila mimi hapana
Hata usipoangalia itakusaidia nini mtu upo machakani huko hujulikani hata na kijumbe cha mtaa!

Watu wanatengeneza pesa kupitia ujinga wako huku wewe ukibaki na manadharia ya ushoga na urijali bila kuambulia chochote.

Hili limeniliza sana. Kiufupi kabisa inasekeeteesha sana.

Kwenda mwanakwenda.

Cc: Poor Brain
 
Mimi nimekuja kugundua ya kuwa Movie karibu zote kubwa za kimarekani zina theme ya Ushetani ndani yake

Fatilia kwanzia PB, Breaking Bad, Into the Badlands, Designated Survivor, GoT nk zote hizo zina Ushetani mwing Sana. I guess hao ndo wanasponsor hzo Movies na lengo kuu ni kupoison the society.
ushetani maana yake nini?
 
Mm nadhani hua Wanalipwa, ili waendelee ku normalize Homosexualism.

Kwasababu Kua gay siwezi kushangaa, ila kutangaza hadharani this is insane 🤣

Yaani ni sawa na mtu atoke hadharani aseme mm napiga nyeto/Napenda Nyeto like wtf?
 
Yeah, sasa kama alifikia hatua alitaka kujiua basi alipitia maisha ambayo si mazuri utotoni. Angejitangaza mapema hata dili la kucheza PB yawezekana angelikosa,sema jamaa liko smart sana ila ndo hivyo anakula mikuyenge ya masela.
Ndo maan mimi huwa narudi kwenye mzizi nao ni malezi
 
Jamaa alijufunga pingu na michael.. sasa pale aliyemkata sijui alikua abuzer yule jamaa au kaka wa michael...

Sema kuna kipande kimoja huyo T bag alikuatana na pasta wa mchongo daaah nilicheka sana aiseee
Ni johnn Abuzer mwenyewe roho ngumu, ila alikufa mbele ya safari na Mtaalamu chawa T-Bag akabaki
 
Ila badae alikuja kuokoka ahahahaha...
Hakuokoka jamaa msenge alikuja na hiyo Gia ili aonekane amebadilika

Haukumbuki kuna scene alisema sijui yesu kamwambie akamuuwe flani😂 alikua a naongea na mke wake sjui

Kuna yule polisi aiseeee hatareeeeee
Mwamba mwenyewe Agent Alexander Mahone
b0a8239a20bc5a4b27166839707d9da6.jpg

35750c4aa1c0da82c5a5ea1f52a1b050.jpg

Huyu jamaa alikua anatumia akili mpk ina sizi so akaanza kutumia vidonge kuji boost akae sawa,, ndo mtu pekee aliyeweza kum track Michael scofield
 
Hata usipoangalia itakusaidia nini mtu upo machakani huko hujulikani hata na kijumbe cha mtaa!

Watu wanatengeneza pesa kupitia ujinga wako huku wewe ukibaki na manadharia ya ushoga na urijali bila kuambulia chochote.

Hili limeniliza sana. Kiufupi kabisa inasekeeteesha sana.

Kwenda mwanakwenda.

Cc: Poor Brain
Uchafuzi wa hali ya hewa 😂
 
Mm nadhani hua Wanalipwa, ili waendelee ku normalize Homosexualism.

Kwasababu Kua gay siwezi kushangaa, ila kutangaza hadharani this is insane 🤣

Yaani ni sawa na mtu atoke hadharani aseme mm napiga nyeto/Napenda Nyeto like wtf?
Sidhani kwa scenario ya jamaa kama alilipwa. Na kingine angefanya ikawa private ingekuwa vizuri zaidi..
 
Hata usipoangalia itakusaidia nini mtu upo machakani huko hujulikani hata na kijumbe cha mtaa!

Watu wanatengeneza pesa kupitia ujinga wako huku wewe ukibaki na manadharia ya ushoga na urijali bila kuambulia chochote.

Hili limeniliza sana. Kiufupi kabisa inasekeeteesha sana.

Kwenda mwanakwenda.

Cc: Poor Brain
😂😂
 
Zamani wakati naangalia series nilivutiwa sana uigizaji wa Jack Bouer wa 24 by then nadhani ilikuwa series bomba sana.

Then The Californication ya pure ngono!! Niliipenda sana
 
Back
Top Bottom