Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Kabisa halafu nikasikia na mmoja wa Sauti Sol naye ni hivyo
huyu hapa rafiki yako uliyemtaja 🤣 🤣

sauti sol.jpg
 
Hakuokoka jamaa msenge alikuja na hiyo Gia ili aonekane amebadilika

Haukumbuki kuna scene alisema sijui yesu kamwambie akamuuwe flani😂 alikua a naongea na mke wake sjui

Mwamba mwenyewe Agent Alexander Mahone
View attachment 3616249
View attachment 3616250
Huyu jamaa alikua anatumia akili mpk ina sizi so akaanza kutumia vidonge kuji boost akae sawa,, ndo mtu pekee aliyeweza kum track Michael scofield
Badae nae aliingia kwenye genge aiseeee hii series noma..

Hivi huyu jamaa ndo mtoto wake alikatwa katwa vipande na yule nigga ama 🙌🙌🙌😄
 
Binafsi pia nilipenda movie yake toleo la kwanza, baada ya kusikia kajamaa kameolewa niliacha kabisa kuangalia hiyo movie mazima!!
Labda wenzie waendelee kuchek ila mimi hapana
Inakata kichiz ila Mm lazima nimalize
 
Zamani wakati naangalia series nilivutiwa sana uigizaji wa Jack Bouer wa 24 by then nadhani ilikuwa series bomba sana.

Then The Californication ya pure ngono!! Niliipenda sana
Hiyo ya Californication nitaisaka mzee wa kazi
 
Badae nae aliingia kwenye genge aiseeee hii series noma..

Hivi huyu jamaa ndo mtoto wake alikatwa katwa vipande na yule nigga ama 🙌🙌🙌😄
Yap, alifanya kazi na scofield under the gvt

Yule nigga alikuja kukiona cha moto, jamaa alimtesa kwa kutumia stimu(umeme) alaf akawa anamchoma on finger tips visindano vidogo it was painful as ***...

Mwisho kabisa akamtupa baharini

Inshort Mahone angekuwa staring angetisha pia
 
Nakumbuka mwishoni alikua anasema muombe msamaha mke wangu...

Aaah jamaa alitisha sana aiseeeee
 
Back
Top Bottom