prida
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 1,297
- 2,596
Hapana hujanielewa vizuri sijasema yeye ni SHIT (utanigombanisha) ila usijali nitakuelewesha vizuri kwa mifano.Kwa mfano,Ila nimegundua prida ww mbaya sana unaweza mfanya mtu a date kwa michambo
Kwamba yeye ni SHIT
Ofcourse ni yeye na maisha yake
Wenzake? Wakina nani hao tuwajue maana ipo siku na Mm naweza bananishwa😂
Ila Seran rafk angu ulimfanya vibaya sana daah
Badala ya kusema She is Bichwa au He is Bichwa unasema Shit is Bichwa.