Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Wapo kibao na yule babu wa Lord of rings nae ni papai
Screenshot_2026-06-27_105526.jpg
 
Kiumbe chenye jinsia she na he huku kwetu tunakiita It au kwa kifupi tukichanganya she na he na it tunarahisisha kwa kusema SHIT.
So hiyo ni jinsia shit.
You feel me?☺️

Hatuwezi mpangia eti achangie madini tu akati hobby yake ni mavi.Katiba inamruhusu kuchangia chochote mradi havunji sheria.Ni mm tu kukwepa nisione anavyochezea na kufurahia mavi.

Uzuri naijua saikolojia ya mapunga.Mfano hapa si kajua mimi nisiyependa mapunga nipo,basi atazidisha comment za manjonjo ya upunga mradi tu anikere zaidi.Sasa na mm naukimbia 🏃‍♂️‍➡️huu uzi nisimuone coz kila nikikutana na bichwa huwa natapika.Sipendi kabisa kukutana na bichwa na wen wenzake.
Ni bora umeamua mwenyewe kutoroka na kuacha ndala.

Wasalimie njilinji.
 
Back
Top Bottom