Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,870
- 3,717
Nini maana ya shiga,punga ni mtu anayewaingilia au kuingiliwa kinyume na maumbile kwa wasanii hii ni shida kubwa it's better kuokoka uachane na mambo haya kwahiyo shoga sio tu anayeingiliwa hata anayewaingilia wenzake