Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Hivi inakuaje ukisha connect na actor fulani inakuwa kama unafatilia reputation yake? Mimi imenibidi ni pause kwanza nifikirie, how!
Na hiyo crew yote waliridhia kabisa kuwa jamaa atangaze?
Hio ni faragha yake binafsi Mzee kule sio huku yeye hakuona impact ya huku kule kwao wanaona ni jambo la kawaida tu mtu kupakuliwa kinyeo kwa hio hakujua km kuna mtu yupo zake Mpitimbi huko anaenda kuchukua movie kwenye vibanda vya wachoma CD na vikompyuta vyao model ya zamani mpaka leo eti wanatumia Windows XP na Windows Vista
 
Lakini cha kuongezea ukimsoma hata Will Smith kipindi kile anafanya mapatano na Jada Pinkett kuna story fulani walikua wanaziweka wazi, mimi ni shabiki wa Will Smith na ile story aliyoitoa niliipenda maana alichokipitia nilikipitia, unataka kujua ni story gani itafute uisome sikupi kila kitu vingine inabidi utaafute mwenyewe
 
Windows Vista ilikua tamu sana enzi zake.
 
Una uthibitisho wowote?
Hapana, hii nilisikia tu kuwa na rumuors, nikajaribu kuserarch nikapata speech yake akikiri kabisa kuwa ni gay ila hakuwahi kuthibitisha kuwa na ana uhusiano na nani hasa mpaka leo hii, ni Bott au Top
So, lastly ikaonekana kuwa LGBTQ kupitia Human Rights walimtumia yeye kama Mtu maarufu ili kupata popularity na uhalali so akalipwa

I'm here to be corrected kama sivyo.
 
Uko sahihi.
 
Hata hapa nyumbani, wasanii wengi maarufu ni machoko. Fuatilia utakuja gundua umaarufu wao haukuja tu kwa kazi zao za usanii, nyuma ya pazia kuna uchafu mwingi wanaofanyiwa. Ushoga ni jambo ambalo linapromotiwa kwa njia tofauti ikiwemo ya kuwaweka mapunga kwenye eneo ambalo jamii itawakubalj.
 
Una mwijaku hapo kahongwa gari na salaah mpaka kazimia.
Hao wengine ushoga kwao sunna watoto wa mama hao
 
Nilijua ushoga wenu na huyo dogo lazima ufe kifo cha mende. He needs a psychologist because he’s psycho. Do the needful if you care about him.
 
Nilijua ushoga wenu na huyo dogo lazima ufe kifo cha mende. He needs a psychologist because he’s psycho. Do the needful if you care about him.
Sasa kama unajua anahitaji msaikolojia kwann unakua rude kwake.?
Kakukosea nn?
Yes I do care for him,he is a nice person.
Hlf sitaki mazoea hamna siku nimewahi kukukwoti so usirudie kunikwoti tena.
 
Michael Scofield sio gay,ambaye ni gay ni Wentworth Miller ambaye aliplay role ya Michael Scofield kwenye prison brake,hata hivyo alisha acha hiyo nafasi kwakuwa alisema hawezi kuendelea kuplay hiyo role kwakuwa yeye ni gay...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…