Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Haya mambo hua yapo ki mkakati sana unaweza kuta jamaa hapumuliwi ila inawekwa hivyo ili ku brand mchongo kua kupumuliwa ni kawaida na mtu yoyote anaweza kuliwa
Duh aisee hawa jamaa wanajua manipulation maana star kama huyo anafwatiliwa dunia nzima
 
Mimi nilikuwa mdau wa sout soul group nilipojua mmoja wao ameolewa na mzungu nikaachana nao
 
Mimi nilikuwa mdau wa sout soul group nilipojua mmoja wao ameolewa na mzungu nikaachana nao
Watu huwa wanafikiria wanapenda kazi za mtunzi pekee mpaka pale mtunzi atakapobolonga automatically na kazi zake Zina buma
 
Upo sahihi kabisa.

Season one paka 3 zilikuwa pouwa saana.

Nne kidogo ila ya tano, honestly ilikuwa not good.

Japo fans Wana demand iendelee
 
Upo sahihi kabisa.

Season one paka 3 zilikuwa pouwa saana.

Nne kidogo ila ya tano, honestly ilikuwa not good.

Japo fans Wana demand iendelee
Hakuna anaye demand kabisa
 
Upo sahihi kabisa.

Season one paka 3 zilikuwa pouwa saana.

Nne kidogo ila ya tano, honestly ilikuwa not good.

Japo fans Wana demand iendelee
Movie zenye character wanaotumia akili zinavutia kutazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…