Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

Daah kitu cha 2010 unaangalia miaka hii. Kipindi tunacheki ilikua hatujui hayo mambo ya upinde... hv ni kweli?
 
Mm nilipenda jamaa alivyo seduce yule manzi... Hakumpiga sound wala nini.. Demu alidata mwenyewe tuView attachment 3616072
Script ilitaka mambo yawe hivo!

Sema nawaza yaan hawa kina Sara walivo watamu inakuaje mtu anawaza kuhama zizi? Na venye siku hizi totoz hazikazi kiivo, wazuri, wana shape kali kali na mazingira anaweza akakutengezea na mitego juu.
 
Script ilitaka mambo yawe hivo!

Sema nawaza yaan hawa kina Sara walivo watamu inakuaje mtu anawaza kuhama zizi? Na venye siku hizi totoz hazikazi kiivo, wazuri, wana shape kali kali na mazingira anaweza akakutengezea na mitego juu.
Mkuu Kazingua angeenda hata a kapata therapy asivuke zizi

Unaachaje mali kama hizi?
 
Wee ushasahau.. huyu T bag alikatwa mkono na nani..?
Sio burrows wala scofield nimekumbuka ilikuwa jamaa flani hivi ambae alikuwa na pesa kaficha ufukweni...


Sema ilikua kuna Michael ndo kashika axe, ila hili jamaa ndo lilimkata mkono senge Kweli,

Kuna scene mpka lilikufa wakadhani limekufa Kweli kuja some episode later kika rudi, walishtuka hasa T bag si alidhani ame liua kwa kulichinja
 
Yaani hapa tunakusapoti kumchukia bwana Michael kumbe na kupinga hivi vitendo kumbe kuna mtu wako hata awe hivyo humuachi🤣🤣
Mkuu huyu jamaa namtreat kama mkombozi(si kidini usinichukulie vibaya) yaani Kani inspire maishani mpk kufikia hapa..

Dedication yake, humble beginnings, kufanya the impossible, na hata jinsi confidence yake ilivo baki stable throughout the years..

So nitajifikirisha tu kuwa wamemzushia na sio yeye then napita hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…