Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
- Thread starter
- #101
Sawa naigeria hakuna uislamu, boko haram ni wakristo wale, tena wasabato.Kinachofanya waaraby wawe matajiri sio ule uarabu wao hapana.
Bali ni sheria za uislam
.......ndio mana Algeria,Tunisia,Egypt zinazidi mbali sana nchi za watu weusi.
Yes!ndio maana Zanzibar ni eneo lenye watu chini ya milioni 2 ndani ya Tanzania,lakini limeendelea kuliko eneo lolote kwenye hii Dunia.
Yes ni uislam ndio unatama haki,mukiwa na Mali,mugawane wasiwepo wanaolala njaa ama awnaaoshindwa matibabu,.....na hii ni kwa nchi zote za kiislam,......elimu,maji,chakuka sio anasa ni haki.
Uislam hauwezi ruhusu eti umchangie kiongozi wa dini ale Bata huku akikubariki nawe uwe tajiri😃😁😃,
-----kuwa muchange michango ya kujenga shule kisha muje kulipa ada Tena,,😆😃.
Umejiona ulivo jinga sasa kuingiza udini kila shm. Anyway hata Tanzania raisi ni mkristo.