Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishasema umepewa halafu ukashindwa kutumia hapo sababu hazitazidi mbili,ni either umelaaniwa kwamba hutapata fursa ya kufurahia kile ulichopewa au akili kichwani za kuendeleza kile ulichopewa huna na Waafrika tumedondokea hapa.Africa hatujalaaniwa
Unasemaje umelaaniwa wakati umepewa kila kitu??
Wazungu ni waongo na wamefanikiwa katika kutujaza ujinga na huwa wakiona tunakaribia kushtuka wanaturudisha kule kule.
Kinachofanya waaraby wawe matajiri sio ule uarabu wao hapana.Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo kutokea UAE huwa najiuliza hilo swali, hivi sisi waafrika weusi tungepewa huo utajiri wa mafuta, je tungekua matajiri kama walivyo waarabu?
Tajiri pekee mweusi alieweza kutengeneza utajiri wa kutisha na kuwaogopesha wazungu na wa-asia kipindi kile alikua ni mwamba Mansa Musa. Huyu jamaa yeye aliweza kudeal na gold na ikamtoa. Tukipata Mansa Musa mwingine tukampa North mara au GGM basi tutegemee kuwa namba 1 kiuchumi.
Unajua kuna hela, mali na utajiri hivo ni vitu tofauti kabisa. Mfano wazungu wengi tunasema wana hela, lakini sio kwamba ni matajiri kama miamba ya UAE, hao kina elon, mara billgates, na wengineo stock exchange ikireverse kidogo tu utajiri wao unashuka.
Mfano kampuni ya apple ina thamani ya Trillion 3 kwa sasa, lkn ukiangalia assets wala hazifiki hata billion 300. So ni pesa za namba tu.
Sasa njoo UAE, wale ni visima vya mafuta ambapo value zao sio kama kwa makampuni ya USA. Na ndio maana ukifanya deal na mwarabu yoyote au kampuni yoyote ya UAE wale jamaa wanakulipa cash, na wala sio stock au stock options.
Kuna banks kubwa kadhaa zilitetereka mwaka 2023 lakini mwarabu akajaza cash wakarudi mzigoni.
Ukitaka kujua utajiri ni nini basi nenda UAE, hela sio utajiri. Haiwezekani mtu una 100m bank halafu unajibania bania kula misosi ya maana au kuendesha ndinga za maana. Wewe sio tajiri bali ni una hela tu bank. Kaangalie kufuru za UAE, unapishana na ferrari imepakwa gold mwanzo mwisho.
Kufuru za utajiri wa UAE hakuna pengine duniani utaziona, labda kidogo sana Monaco, Italy wanajitahidi ila wao wengi ni familia na kimafia na wauza sembe
Afrika Kwakweli kuna shida siyo kidogo.Ah sasa niwaze nini chengine wakati ngono ndio burudani ya dunia weye.
On a serious note though inabidi waafrica tukubali sie akili tulizokuwa nazo ni za kutuweza kuvuka barabara kwa usalam tuu.
Hivyo basi kwa kuwa tumebarikiwa natural resources wacha mzungu tumuajiri atuendeshe mambo huku sie tunaburudika na maisha ya kugegedana.
Wenzetu waarabu wameshaliona hilo wao wana mafufa wazungu wana akili...so come work for use we pay u, u build our country and we enjoy life.
Una tanzanite gold gas serengeti kilimanjaro zanzibar lake victoria alafu bado wee suo donor country maana yake huna akili
Yes umenena vyema.........shida sio uarabu bali ni uislam.Makaburu waliitengeneza Johannesburg kupitia Dhahabu, johannesburg yetu ipo wapi?..
Mauritius ni kisiwa cha utalii na maisha yao yanaenda, sisi ukiitoa Zanzbar, hii coast yetu toka Tanga hadi Mtwara tumeifanyia nini?...
Vipi wenzetu Botswana, maisha wanaendesha kwa kutegemea almasi. Tuseme ni nchi ndogo, je shinyanga ina dalili zozote za kufikia standard ya maisha ya watswana?...
Tanzania hata tungepewa mafuta, tungeendelea kuwa na uhaba wa umeme kama Nigeria. Huo ndio uhalisia
Obvious ni nchi za kiislam✍️✍️Uandishi wako huwa ni kichefuchefu sana, mkanganyiko na conspiracies za kutosha.
Nani ni wamiliki wa Aramco na Abu Dhabi National Oil Company (ADNOC) ??
Unafahamu sovereign wealth funds kubwa zaidi za kinchi zinazomiliki mabilioni ya $dola ni za nchi gani??
Ukweli mtupu huu mkuuPopulation inapaswa kuwa controlled sambamba na ukuaji uchumi, either mzae sana na upande mwingine mfanye kazi sana na kuzarisha sana kuendana na kasi yetu ya kuzarisha.
Kushindwa kubalance ukuaji wa population sambamba na ukuaji wa uchumi wenu NI umasikini mwingine huo.
Kila kitu kinapaswa kuwa kwenye control yetu kushindwa kwetu kucontrol kila kitu ni sababu nyingine ya umasikini wetu.
Umeongea point sana mkuu,.................nchi kama Saudi Arabia....ile kua islaic country,ukila rushes,umekamatwa na unga,umetomba ovyo,kifo nje nje ,inafanya raia kua serious na maendeleo yao,........watu hawawezi kuwaza ujinga,sababu haki imetawala,.Wanaotetea kuwa sijui seven mara six sisters De beers na wakoloni wengi ndio wameleta shida na blablaa nyingine. Skieni nyie vilaza mliokariri history hatudanganyiki.
Wazungu ndio wanatukandamiza, kwahiyo hata vyoo na madawati, matumizi sahihi ya vyoo na dust bin nalo hilo ni kosa la mzungu.
Hivi V8 ni mzungu ndio kawalazimisha mzipande, kuwa na mrundikano wa vyeo navyo hiyo ni mzungu kawalazimisha, kula rushwa napo hapo mnamsingizia mzungu😀😀😀,ebu mje na hoja zenye mashiko.
Mambo mengi yapo kwenye uwezo wetu ila hakuna kitu, watu wamesoma mpaka PhD ila hawako productive bora taifa zima wote tungeenda kusoma ufundi mbalimbali VETA.Wasomi wapo ila ni bora wasingepoteza muda kwenda shule.
Hata UAE hazalishi mafuta mengi kama mataifa mengine ina mafuta ya kawaida.Equatorial guinea na Gabon sio wazalishaji wakubwa wa mafuta, mafuta yao ni ya kiwango cha kawaida tu halafu bado yanaibwa na mafisadi.
Saudi Arabia ina raia milioni 35 na nchi yao ina ukubwa wa mara mbili na nusu ya Tanzania.
Tuendelee kugegedana tuu mwanawane. Suala la kufikiri tuwaachie wazunguAfrika Kwakweli kuna shida siyo kidogo.
eneo tunalo, rasilimali tunazo za kkutosha lakini hatujafanya maajabu yoyote.
Tunasaidiwa na viinchi vya ulaya kwa hali na mali, ambapo vingine havina ukubwa hata wa kuzidi baadhi ya mikoa yetu hapa nchini.
na pengine havina hata natural resources kama nchi yetu.
Afrika ni kama kuna laana
Ni ya nane kwa uzalishaji mafuta duniani, ya sita kwa uzalishaji gas duniani, ya kwanza kwa uzalishaji gas uarabuni na ya tatu duniani kwa akiba kubwa ya gas iliyogunduliwa mpaka sasa.Hata UAE hazalishi mafuta mengi kama mataifa mengine ina mafuta ya kawaida.
Labda vizazi vijavyo watakuwa wanafikiria kama wazunguTuendelee kugegedana tuu mwanawane. Suala la kufikiri tuwaachie wazungu
Sasa sisi afrika tunapokea nini na tunafadhili kitu gani zaidi ya kuomba mataifa ya nje yatusaidie kujenga mashimo ya choo?Hata huyo muarabu hana jipya, hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na huyo huyo mzungu ndiye mwenye teknolojia ya kuyachimba, muarabu amekaa kupokea tu na kuvaa kobaz huku akifadhili ugaidi wa dini.
Tatizo waafrika wengi wanaendekeza njaa mtu akishakuwa kiongozi basi anawaza kupiga hela na kuwasahau wananchi wengine. Imagine Tanzanite ipo nchi yetu peke yake lakini India ndo wanaoongoza kwa mauzo.Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo kutokea UAE huwa najiuliza hilo swali, hivi sisi waafrika weusi tungepewa huo utajiri wa mafuta, je tungekua matajiri kama walivyo waarabu?
Tajiri pekee mweusi alieweza kutengeneza utajiri wa kutisha na kuwaogopesha wazungu na wa-asia kipindi kile alikua ni mwamba Mansa Musa. Huyu jamaa yeye aliweza kudeal na gold na ikamtoa. Tukipata Mansa Musa mwingine tukampa North mara au GGM basi tutegemee kuwa namba 1 kiuchumi.
Unajua kuna hela, mali na utajiri hivo ni vitu tofauti kabisa. Mfano wazungu wengi tunasema wana hela, lakini sio kwamba ni matajiri kama miamba ya UAE, hao kina elon, mara billgates, na wengineo stock exchange ikireverse kidogo tu utajiri wao unashuka.
Mfano kampuni ya apple ina thamani ya Trillion 3 kwa sasa, lkn ukiangalia assets wala hazifiki hata billion 300. So ni pesa za namba tu.
Sasa njoo UAE, wale ni visima vya mafuta ambapo value zao sio kama kwa makampuni ya USA. Na ndio maana ukifanya deal na mwarabu yoyote au kampuni yoyote ya UAE wale jamaa wanakulipa cash, na wala sio stock au stock options.
Kuna banks kubwa kadhaa zilitetereka mwaka 2023 lakini mwarabu akajaza cash wakarudi mzigoni.
Ukitaka kujua utajiri ni nini basi nenda UAE, hela sio utajiri. Haiwezekani mtu una 100m bank halafu unajibania bania kula misosi ya maana au kuendesha ndinga za maana. Wewe sio tajiri bali ni una hela tu bank. Kaangalie kufuru za UAE, unapishana na ferrari imepakwa gold mwanzo mwisho.
Kufuru za utajiri wa UAE hakuna pengine duniani utaziona, labda kidogo sana Monaco, Italy wanajitahidi ila wao wengi ni familia na kimafia na wauza sembe
🤣🤣🤣🤣 Hamna kitu kama hicho broLabda vizazi vijavyo watakuwa wanafikiria kama wazungu